Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Haya subur tumalize wiki na maneno yako ya kimagharibi hayo mara wamekufa wanajeshi 3500 wa urusi [emoji16][emoji16]
Wanajeshi 3,500 hata mimi nakataa hilo kwa vita ya siku mbili tu. Ila wapo warusi waliokufa wanafika hata 100 ingawaje wao Urusi wanadai ni 30 hadi sasa.

Hii vita sio yakuisha leo maana jeshi na raia wa Ukraine wameshikamana na Rais wao tofauti na matarajio ya Urusi kwamba asingekutana na ukinzani mkubwa ndo maana aliwataka wanajeshi wa Ukraine wampindue Rais wao wakagoma.

Marekani pekee kaanza kupeleka zana za kivita Ukraine zenye thamani ya zaidi ya trilion 1. Umoja wa ulaya nao wamepeleka vifaa vya kivita kuisaidia Ukraine kupambana na Urusi.

Urusi kaanzisha vita bila kufanya calculation zake vema.
 
Putin anaenda kuaibika kwenye hii vita, kategwa kaingia mkenge
Ukishaona Rais wa ukraine hataki tena mazungumzo ujue kuna vitu vinampa huo ujasiri sasa.
Ndo ukweli wenyewe mkuu Putin alidanganywa kwamba asingepata upinzani wowote kumbe ni kinyume chake.

Jamaa ni kilaza sana dunia ya leo unaiingiza nchi vita ya moja kwa moja haoni wenzake China na Marekani ni vita ya maneno tu ili kulinda uchumi wa nchi.

Hapo atatumia gharama kibao kwenye vita bado ataendelea kutumia gharama kibao kulinda mipaka yake baada ya vita hii maana NATO wataendelea kumjambisha ili akose utulivu azidi kujiingiza kwenye gharama mwisho wa siku uchumi mufilisi na vikwazo juu.
 
Puttin hana future tena katika nchi yake na katika bara zima la Ulaya.
 
Ndo ukweli wenyewe mkuu Putin alidanganywa kwamba asingepata upinzani wowote kumbe ni kinyume chake.

Jamaa ni kilaza sana dunia ya leo unaiingiza nchi vita ya moja kwa moja haoni wenzake China na Marekani ni vita ya maneno tu ili kulinda uchumi wa nchi.

Hapo atatumia gharama kibao kwenye vita bado ataendelea kutumia gharama kibao kulinda mipaka yake baada ya vita hii maana NATO wataendelea kumjambisha ili akose utulivu azidi kujiingiza kwenye gharama mwisho wa siku uchumi mufilisi na vikwazo juu.
US na wenzake lengo lao ni kumshusha chini kiuchumi awe weak,asiwe tishio tena. Na lengo lao kuu ni ku corrupt banking system.

Yaani US na wenzake wanampiga Indirect,hawaingii moja kwa moja.
 
Ulitaka avurumishe tu makombora yapotie na watu wasio na hatia ili mseme!
Hivi uliona leo kuna jamaa alikuwa anazuia vifaru Kwa mikono visiiingie lakini JAMA walivyo wastaalabu walikuwa Wanampisha kabisa yaani mpaka nikashangaa aise, hapa ingekuwa wanajeshi WA USA wangempitiatu jamaa.
 
Nimependa spirit ya wananchi wa Ukraine, wale jamaa hawajataka ujinga kama waarabu, wameamua liwalo na liwe....
Na hicho ndio kinawapa Urusi ugumu,kadri masaa yanavyoenda ndivyo Ukraine anapata sapoti.... Kama hadi kesho Kyiv itakuwa haijachukuliwa Urusi arudi Urusi
 
Nahisi kabisa kule mpakani Russia alipoingia kirahisi bila upinzani ilikuwa ni strategic ya kumvuta kwenye Graveyard hapo Mji Mkuu Kyiv. Naona plan zote za kivita pamoja na rasimali watu na silaha za Ukraine waliziweka hapo Kyiv maana walishajua lengo la Putin. Sasa Russia anakipata cha moto mpaka anafikia hatua ya kutumia Ballistic Missile.
Graveyard afu uko kwako, una akili wewe?
 
Putin ndio anashtuka muda huu kuwa aliwekewa mtego Kyiv,sasa naenda mbele hawezi na kurudi nyuma hawezi na NATO ndio wanazidi kumimina silaha Kyiv.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] WANJIRU ameugundua MTEGO, PUTIN hajagundua... Vichekesho hivi.
 
Kuamini pia NATO inaweza kuivamia Russia ni matumizi mabaya ya akili.russia Wana nguvu kushinda NATO ndo maana wamepingwa biti hakuna anayeingipia mpaka Sasa hivi alafu Jana meli za NATO(TURKEY)ilipigwa na hakuna kitu walifanya.
We jamaa ni juha [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Iraq alipoteza silaha na jeshi kubwa ktk vita na Iran pia alikuwa katika vikwazo hivo asingeweza kupambana na USA +NATO.
Tofauti na Ukraine ambaye anapokea msaada WA mafunzo na silaha sophisticated from US +NATO
Isitoshe walimnyonyoa mabawa kwanza kupitia Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa walimlazimisha kuteketeza silaha zake za masafa marefu kabla ya Vita plus vikwazo vya kiuchumi.
 
Sawa mchambuzi wa masuala ya kivita wa kwenye keyboard huko mbagala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wabongo hua mmejaaliwa kujua kila kitu duniani.
Ndio faida ya kusoma. Kusoma sio darasani tu.
 
Kazi imeanza sasa
JamiiForums-888250731.jpg
JamiiForums-896814932.jpg
JamiiForums-610627156.jpg
 
Kama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.

Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiria.

Marekani alitumia miezi kufika mji mkuu wa Iraq.

Urusi katumia siku 2 kufika mji mkuu wa Ukraine bado tu hujaona nguvu ya Urusi.
Acha uongo na mahaba usa hajatumia miezi kufika mji mkuu wa iraq punguza mihemko
 
Back
Top Bottom