Kama mpaka sasa umeshamzalisha mkeo watoto wawili wa kike, nenda tu kafunge uzazi!

Kama mpaka sasa umeshamzalisha mkeo watoto wawili wa kike, nenda tu kafunge uzazi!

Unaweza ukapata wakiume wakawa majambazi na watumia ngada.
Mtoto ni mtoto tu.
 
Kukosekana kwa mtoto wa kiume ni tatizo la mwanaume! Mwanamke ana XXna mwanaume ana XY... Wewe ndo unatengeneza jinsia ya mtoto... Usipopata dume ni wewe uliesababisha!

Watu washazoea kuonea tu wanawake! Sisi ni wapokeaji tu!
Sawa paprika
 
Yaani ungejua kua chances za mtoto wa kike kusaidia kwao ni rahisi kuliko mtoto wa kiume!!!! Watoto wa kiume ni rahisi sana kutelekeza wazazi wao!

Na sioni ubaya kua na watoto wa kike ata watano... Kwa mzee wangu kumlea dume ndo ilikua kazi sana...
Ni kweli kabisa usemavyo na wengi tunategemea hivyo,,,,, ila mi nna dada zangu wamekuwa kinyume chake walipoanza maisha yao,,,,, kwa familia yetu ni useless kabisa hivyo hiyo dhana nimefuta hivyo mtoto ni mtoto tu awe wa kike au wa kiume we lea tu ondoa dhana kuwa jinsia fulani yaweza kuwa msaada mbeleni,,,,, ikitokea neema tu
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kukosekana kwa mtoto wa kiume ni tatizo la mwanaume! Mwanamke ana XXna mwanaume ana XY... Wewe ndo unatengeneza jinsia ya mtoto... Usipopata dume ni wewe uliesababisha!

Watu washazoea kuonea tu wanawake! Sisi ni wapokeaji tu!
Lakini mwanamke Si anatoa only x ambayo ni female wakati dume anaweza toa either x or y ....sasa kosa la nani hapa ....?!?!
 
Kwa hali nionavyo bora niwe na watoto wa kike tu maana kadri siku zinavyosonga mambo ya kike anachukua dume ya dume anachukua like

Kasoro kujifungua tu.

Itafika mahala mtoto wa kike ndiye atakuwa kichwa na mrithi.
 
Hoja yako umeiacha inaelea..
Ungeweka hizo changamoto hapa tuzpime..

Ukute wenzako haziwahusu na wako happy na watoto wao wa kike.
 
Lakini mwanamke Si anatoa only x ambayo ni female wakati dume anaweza toa either x or y ....sasa kosa la nani hapa ....?!?!

Kosa ni la mwanaume kwasababu yeye ndo anayetoa either x or y sasa Kama kila akitoa X ndo inaenda rutubisha yai hapo kupata mtoto wa kiume ni ndoto
 
Mwanaume ndo muamuzi wa jinsia ya mtoto couse ana y na x hivyo inapotokea toto ya kwanza x na ya pili x jua kua weye kidume ndio imeamua hivo mi nazalisha toto yoyote.nikitaka kwa sababu procedure zote nazijua
 
Back
Top Bottom