Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Una ka roho ka ubaguzi kwa mbaaaaaaliiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa paprikaKukosekana kwa mtoto wa kiume ni tatizo la mwanaume! Mwanamke ana XXna mwanaume ana XY... Wewe ndo unatengeneza jinsia ya mtoto... Usipopata dume ni wewe uliesababisha!
Watu washazoea kuonea tu wanawake! Sisi ni wapokeaji tu!
Ni kweli kabisa usemavyo na wengi tunategemea hivyo,,,,, ila mi nna dada zangu wamekuwa kinyume chake walipoanza maisha yao,,,,, kwa familia yetu ni useless kabisa hivyo hiyo dhana nimefuta hivyo mtoto ni mtoto tu awe wa kike au wa kiume we lea tu ondoa dhana kuwa jinsia fulani yaweza kuwa msaada mbeleni,,,,, ikitokea neema tuYaani ungejua kua chances za mtoto wa kike kusaidia kwao ni rahisi kuliko mtoto wa kiume!!!! Watoto wa kiume ni rahisi sana kutelekeza wazazi wao!
Na sioni ubaya kua na watoto wa kike ata watano... Kwa mzee wangu kumlea dume ndo ilikua kazi sana...
"HIVI ITAKUWAJE SIKU UKIJA KUGUNDUA WATOTO UNAOWALEA SIO WA KWAKO ""
NA UMESHAFUNGA KIZAZI TAYALI """
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124]Nowdays mitoto ya kiume ni bure kabisa....
[emoji122][emoji122][emoji122]Ni kweli kabisa usemavyo na wengi tunategemea hivyo,,,,, ila mi nna dada zangu wamekuwa kinyume chake walipoanza maisha yao,,,,, kwa familia yetu ni useless kabisa hivyo hiyo dhana nimefuta hivyo mtoto ni mtoto tu awe wa kike au wa kiume we lea tu ondoa dhana kuwa jinsia fulani yaweza kuwa msaada mbeleni,,,,, ikitokea neema tu
Lakini mwanamke Si anatoa only x ambayo ni female wakati dume anaweza toa either x or y ....sasa kosa la nani hapa ....?!?!Kukosekana kwa mtoto wa kiume ni tatizo la mwanaume! Mwanamke ana XXna mwanaume ana XY... Wewe ndo unatengeneza jinsia ya mtoto... Usipopata dume ni wewe uliesababisha!
Watu washazoea kuonea tu wanawake! Sisi ni wapokeaji tu!
Lakini mwanamke Si anatoa only x ambayo ni female wakati dume anaweza toa either x or y ....sasa kosa la nani hapa ....?!?!
Tofauti ya malezi ya mtoto wa kike na kiume ni ipi mkuu