Kama mpaka sasa umeshamzalisha mkeo watoto wawili wa kike, nenda tu kafunge uzazi!

Kama mpaka sasa umeshamzalisha mkeo watoto wawili wa kike, nenda tu kafunge uzazi!

Kafunge wewe sisi tunaendelea kujaza ulimwengu
 
Kwa aina ya mfano wa wanaume wengi ambao ni mazezeta na mazuzu,bora wakike milioni moja.
 
Yan bado kuna watu mna mawazo mgando sana....yan unazaa ili tu watoto waje kukusaidia ukizeeka! Hakuna kingne mnakiona kw watoto ila ni kuja kuwapeni msaada tu, kw nn mcjpange mapema inakuwaje kuanzia sasa uanze kuwaza kumtwika mwanao majukumu, kwan yy hatakuwa na ya kwake!? TUBADILIKE
 
Huyo mimi simuelewi kabisa. Mimi nimeanza na saba wadada, huyu wa mwisho ndio kidume. Sasa simuelewi, wakati hao wadada napanga nao kila kitu na wanafiti. Nimewashauri tu, jitahidi msome mpaka form six kila mtu namjengea nyumba yake. Aaaah wamefurahi balaha, ila tukashauriana kwenye kila hati kutakuwa na jina la huyu kidume na mlengwa. Hii yote wasije wakatokea wajanja wakawapiga. Ila nataka nikuambie mtoto was kike ni mzuri sana kuliko wa kiume.
 
Sasa kizaz anafunga mwanamke au mwanaume
Maana hujaeleweka

Watt wa kike kwang wacje wakazd tu wawili aisee maana
N mzgo co kidogo
 
Jamani, asiwaambie mtu, kulea watoto wa kike ni kazi kubwa sana. Ni wito unaohitaji nguvu kubwa na akili nyingi.
Nimejaribu kuchek na baadhi ya marafiki na majamaa, nimeona wengi kati yao wamejaaliwa kuzaa mtoto wa kwanza wa kike na wa pili wa kike!
Kulingana na nadharia za probability of an event, chances are hata wakizaa tena kuna uwezekano wa 75% ya kupata mtoto wa tatu wa kike na only about 25% ya kupata mtoto wa kiume.
Ili kueupuka kuzeeka mapema kwa stress za malezi, fanya tu kama Obama... Fungeni kizazi mlee hao hao watoto mliokwisha wapata.
Mimi naamini watoto ni watoto na wote wana uwezo sawa tu wa kukusaidia huko uzeeni!
Hahaha
 
Back
Top Bottom