prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Tembea ujioneeKuna sheria ya uzazi ya kufunga kizazi.huwezi kufunga kizazi chini ya umri wa miaka 35 isipokuwa kwa sababu maalum za kiafya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tembea ujioneeKuna sheria ya uzazi ya kufunga kizazi.huwezi kufunga kizazi chini ya umri wa miaka 35 isipokuwa kwa sababu maalum za kiafya
Na anaweza akapata hao wa kiume wakaja kuishia kuwa akina James Delicious au Kaoge.Hata ukipata kumi wa kike shukuru, wengine wanawatafuta hawapati
Najua magendo yapo popote lakini misingi na taratibu lazima tujuzaneTembea ujionee
HahahaJamani, asiwaambie mtu, kulea watoto wa kike ni kazi kubwa sana. Ni wito unaohitaji nguvu kubwa na akili nyingi.
Nimejaribu kuchek na baadhi ya marafiki na majamaa, nimeona wengi kati yao wamejaaliwa kuzaa mtoto wa kwanza wa kike na wa pili wa kike!
Kulingana na nadharia za probability of an event, chances are hata wakizaa tena kuna uwezekano wa 75% ya kupata mtoto wa tatu wa kike na only about 25% ya kupata mtoto wa kiume.
Ili kueupuka kuzeeka mapema kwa stress za malezi, fanya tu kama Obama... Fungeni kizazi mlee hao hao watoto mliokwisha wapata.
Mimi naamini watoto ni watoto na wote wana uwezo sawa tu wa kukusaidia huko uzeeni!
Sasa kizaz anafunga mwanamke au mwanaume
Maana hujaeleweka
Watt wa kike kwang wacje wakazd tu wawili aisee maana
N mzgo co kidogo