Kama mpenzi wako hatongozwi nje, huyo siyo pisi kali na siyo mtanashati

Kama mpenzi wako hatongozwi nje, huyo siyo pisi kali na siyo mtanashati

🤣🤣Weka kapicha tuione
Siajabu inamuonekano wa fenesi bichi au spoku za baiskel
FB_IMG_16717823017994929.jpg

Nafkiri unaizungumzia pissi niliokuwa naisema Ina miguu km hii
 
🤣🤣🤣ilivyo na mabonde milima na vichaka
hakuna haja ya kuionyesha nisije zimia kwa vicheko
Endelea kuificha kwenye msuli
Nna miguu mibaya
Vidole Kama Tangawizi asee ila Wadada wanaipenda thank.
 
hongera kila laheri na matangawizi yako
Sipatii picha hivyo viatu vitakuwa na upana size ya ngalawa
Aaaaah hakia Mungu yaan mguu wangu ufanane na Ngarawa....aaah 👀
Mwanamke mshenzi Sana wewe 🤣🤣🤣🤣
 
Aaaaah hakia Mungu yaan mguu wangu ufanane na Ngarawa....aaah 👀
Mwanamke mshenzi Sana wewe 🤣🤣🤣🤣
Mwenyewe 😂😂🤣🤣🤣kawaida washenzi hutambuana
 
Wapo ambao hawatongozwi kabisa, hata ukipishana naye huwezi kugeuza shingo
alichokiumba mungu binadamu hupaswi kumkosoa.ww n nani mbele ya mungu hadi ukosoe?sote tutafukiwa chini jiulize unapokufa hutakuwa na thamani tena waliokuona mzuri hautokuwa nao tena utakuwa chakula cha udongo na wadudu.so heshimu mungu na viumbe vyake usiwe mpuzi dunia ikakuhadaa hata mfalme suleman alisema ni ubatili mtupu, siku zote usipende kuona wengingne wa maana kumbuka maisha haya tunapta
 
Mtumishi gan wa mungu kutwa kusengenya miguu ya kina dada🙄mbinguni huendi
M2 ana ngoko mbaya kutwa haishi kujitikisa makalio Hana mgongo wa kiume eeeh niishie hapa.... Huu Ni Ufunuo nakupa 🤣
 
M2 ana ngoko mbaya kutwa haishi kujitikisa makalio Hana mgongo wa kiume eeeh niishie hapa.... Huu Ni Ufunuo nakupa 🤣
Umba wako eti paroko 🤣🤣🤣😅
punguza vurugu za maono
Ufunuo baki nao
 
Nyie ndio mnatafuta madem ili marafiki zako waseme "shemeji ni bonge la pisi" huku unateketea kifedha na kisaikilojia

Tafuta mwanamke ambaye hamu haikuishi kumuona wewe kama wewe machoni mwako na sio wengine watamchukiliaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umba wako eti paroko 🤣🤣🤣😅
punguza vurugu za maono
Ufunuo baki nao
Kwan uko na miguu gani ?
Mana naona uko huu mtetezi wa miguu za watu.
#😛
 
Back
Top Bottom