Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Mimi hizi equestion zime nisaidia na zina nisaidia mpaka sasa pia nina uhakika zitaendelea kunisaidia ndio maana hata baada ya kumaliza shule niliendelea kusolve ,

Labda nikwambie tu sio kila topic au somo utakutana nayo directly kwenye life ,

Yani utegemee uambiwe kua Aljebra hii apa ina kupa pesa au inakusaidia kupata hiki/kile in life , sio possible

Kuna vitu tulifundishwa hata in life havipo ili kukujenga kifikra ,kukuongezea uwezo wa kutatua changamoto , ndio maana utatuaji wa changamoto wa msomi na asie msomi hauwezi kufanana , hata kama hiyo changamoto haina uhusiano na masuala ya shule ,

Ume gusia mitaala mimi huko siwezi kugusia nachotaka u solve swali na nimeweka hapa kwa ajiri yabwanao weza kujaribu au kufanya sio mnao complicate lila kitu kutaka kiwasaidie kupata pesa [emoji16]
Mimi sikujua kama Pythagoras theorem ntakuja kuitumia, na sehemu nilipo apply hiyo theorem hauwezi tarajia.
 
Bingwa
Wale watabe kudizaini ma system ya ki utaalamu wa hali ya juu, huwa hawashuguliki na decimal points

Mfano
Wakati wanajaribu kutafuta ni jinsi gani rocket inaweza kuruka mpaka kufikia kutoka kwenye gravity ya dunia, alitokea huyu dada mmarekani mweusi, akayayavuruga mahesabu kwenye ubao na kuja na hesabu za makadirio yaliyofanikisha kuweza kurusha appolo 11 mpaka mwezini


View attachment 2804087
Mkuu kama hawashughuliki na decimals ina maana ukiapproximate hilo jibu la 3.2 inakuwa ni 3, sasa je ukipachika hiyo 3 pale kwenye X jibu la LHS na RHS litafanana, yaani kwamba 2^5 = 8×3 siyo
 
This is not the way mathatics problem get solved ,
Swali lina wezekana labda u admit kua umeshindwa ..
Si lazima kila swali la hesabu liwe na jibu mkuu ndio maana hadi leo jibu la "any number divide by zero is equal to undefined", mtu anaweza tu akajitungia swali lolote la hesabu hata kama halina jibu, ila wewe ukahangaika kusolve kwa imani kwamba every mathematics problem is susceptible of solution
 
Si lazima kila swali la hesabu liwe na jibu mkuu ndio maana hadi leo jibu la "any number divide by zero is equal to undefined", mtu anaweza tu akajitungia swali lolote la hesabu hata kama halina jibu, ila wewe ukahangaika kusolve kwa imani kwamba every mathematics problem is susceptible of solution
Any number devuded by zero sio undefined boss ni infinity number , na hilo ni jibu so kila swli la hesabu lina jibu especiali algebra
 
Any number devuded by zero sio undefined boss ni infinity number , na hilo ni jibu so kila swli la hesabu lina jibu especiali algebra
Kuna sources nyingi tu zinazosema jibu ni "undefined", by the way infinity is neither a natural nor a real number but rather a concept or idea, kwahiyo si kila swali la hesabu lazima jibu lake liwe number
 
Form 4 hawezi solve nakubaliana na ww
Jibu la hili swali ni HALIWEZEKANI, kwanini? Kwa sababu equation yoyote yenye equal sign ni lazima LHS iwe sawa na RHS kitu ambacho si kweli kwa hili swali, lipo kitrick unaanza kuwaza kuapply logarithmS rule lakini mwisho wa siku unajikuta unarudi ulipoanzia,
tuanze kwa kurahisisha equation

2^(8-x) = 8x .....by exponential rule
2^(8-x) = 2^8.2^(-x)
...and
8x = x.2^3
hapa tunapata
2^8.2^(-x) = x.2^3 ...devide by 2^3 both side then apply exponential rule
(since exponents have the same base (2) we substract the exponents)

2^(8-3).2^(-x) = x.2^(3-3)
..kinachobaki ni

2^5.2^(-x) = x ..from negative exponent rule 2^(-x) = 1/2^x
2^5/2^x = x ..multply by 2^x both side we get

2^5 =x.2^x

kutoka kwenye hii equation unaona tuna base zinazofana bothside ambayo ni mbili namba shufwa at the same time unatakiwa utafute namba ambayo ni x kama ukiizidisha hiyo namba x kwa 2 exponent (hiyo namba ambayo ni x) jibu liwe sawa na 2^5 kwakuwa tuna deal na exponent base ambayo ni mbili 2 basi hiyo namba ni lazima iwe 2 na baada ya kuitoa hiyo namba, exponent inatakiwa ibaki sawa na namba hiyo tuliyoitoa ili kuwa equal na RHS x.2^x.
Ila ukiangalia LHS tuna 2^5 the only possibility we have is
2^5 = 2.(2^4) but 2 not equal 4 as required to equate RHS which is x.2^x
2^5 = 2x2(2^3)
but 2x2 = 4 not equal 3 as required to equate RHS which is x.2^x
2^5 = 2x2x2(2^2)
not equal as required to equate RHS which is x.2^x

2^5 = 2x2x2x2(2^1) not equal as required to equate RHS which is x.2^x

so the equation logically is not valid
Kwa form four hapa ni kumuonea tu thamani ya x inaweza kupatikana labda kwa njia za approximation ambazo ni very complicated hata mtu wa PCM advance hatoboi hat kwa vyuo ikuu wasomi wetu wanakaa.
 
Jana nilisearch ngoja nikascreenshot
 
Back
Top Bottom