Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Mimi sikujua kama Pythagoras theorem ntakuja kuitumia, na sehemu nilipo apply hiyo theorem hauwezi tarajia.
 
Mkuu kama hawashughuliki na decimals ina maana ukiapproximate hilo jibu la 3.2 inakuwa ni 3, sasa je ukipachika hiyo 3 pale kwenye X jibu la LHS na RHS litafanana, yaani kwamba 2^5 = 8×3 siyo
 
This is not the way mathatics problem get solved ,
Swali lina wezekana labda u admit kua umeshindwa ..
Si lazima kila swali la hesabu liwe na jibu mkuu ndio maana hadi leo jibu la "any number divide by zero is equal to undefined", mtu anaweza tu akajitungia swali lolote la hesabu hata kama halina jibu, ila wewe ukahangaika kusolve kwa imani kwamba every mathematics problem is susceptible of solution
 
Any number devuded by zero sio undefined boss ni infinity number , na hilo ni jibu so kila swli la hesabu lina jibu especiali algebra
 
Any number devuded by zero sio undefined boss ni infinity number , na hilo ni jibu so kila swli la hesabu lina jibu especiali algebra
Kuna sources nyingi tu zinazosema jibu ni "undefined", by the way infinity is neither a natural nor a real number but rather a concept or idea, kwahiyo si kila swali la hesabu lazima jibu lake liwe number
 
Form 4 hawezi solve nakubaliana na ww
 
Jana nilisearch ngoja nikascreenshot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…