Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Chief,samahani Unaweza kuweka mtiririko mzima mpaka unafikia kwenye jibu?
1. nimeanza na n(HnGnE) ambayo ni 5 , natumai hii inaeleweka, imekaa katikati hapo




2. kisha nikaja na

n(EUH) = n(E)+n(H)-n(EnH)
70 = 50+40-n(EnH)
n(EnH) = 90-70
n(EnH) = 20 -> hawa waliochukua Economics na History, hii inajumuisha hao watano juu hapo n(HnGnE)


so inabidi utoe kujaza kipande nilichowekea kivuli, ie: 20-5 = 15






3. Nakuja tena

n(HUG) = n(H)+n(G)-n(HnG)
80 = 40+55-n(HnG)
n(HnG) = 95-80
n(HnG) = 15 -> hawa waliochukua History na Geography, pia hii inajumuisha hao watano juu hapo n(HnGnE)


so inabidi utoe vilevile ie: 15-5 = 10






4. Nakuja tena

n(GUE) = n(G)+n(E)-n(GnE)
85 = 55+50-n(GnE)
n(GnE)= 105-85
n(GnE) = 20 -> hawa waliochukua Geography, na Economics, pia hii inajumuisha hao watano juu hapo n(HnGnE)


so inabidi utoe vilevile ie: 20-5 = 15




5. Nakuja Tena

n(HnE'nG') = 10 , ina maana waliochukua History lakini hawakuchukua Economics wala Geog





6. vyumba vilivyobaki si unaweza malizia ?
 
Ahaa!!!! Hapo naweza malizia.Shukrani[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nionyeshe njia (solution) ya kupata majibu ya hili swali...

Find the value of y

2^y / (2y-2) = 2

Two power y divide by two y minus two equals to 2.

dronedrake
 

Haya nishatafuna hapo




.......Out of 750 claimed to be happy. 400 were men of which 200 were married.


hiyo 200 hapo ndiyo thamani ya kuanza nayo kwenye Venn, b = 200
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…