Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuo si mtelezo tu sasa UEhaha watu hamtaki usumbufu
Ipo vizuri hiyoHii sijaitumia nitaijaribu
Au
Chief,samahani Unaweza kuweka mtiririko mzima mpaka unafikia kwenye jibu?
Hii ni kutokana na swali hilo tu?Maana inajulikana n(AUBUC)=n(A)+n(B)+n(C)-[n(AnB)+n(AnC)+n(BnC)]+n(AnBnC)Au
n(AUBUC) = n(A) + n(B) + n(C) - n(AnBnC)
WRONG!Jibu ni 7 the rest nmemuuliza bard, je njia hapo kwa picha..View attachment 2803130View attachment 2803131
Hahahaha..Kuna hii mathpapa, nayo imechemka si mchezo kabisa.View attachment 2803895
Huu Sasa ni UBISHI sio UTAALAMU!Kwamba 26.35 = 26.24 ? Si ndio?
Graph sitegemei itupe jibu lenye 3 decimal places! Labda mtuambie mnatumia graph pad ya accuracy gani!3.284379267
1. nimeanza na n(HnGnE) ambayo ni 5 , natumai hii inaeleweka, imekaa katikati hapoChief,samahani Unaweza kuweka mtiririko mzima mpaka unafikia kwenye jibu?
Ahaa!!!! Hapo naweza malizia.Shukrani[emoji120][emoji120][emoji120]1. nimeanza na n(HnGnE) ambayo ni 5 , natumai hii inaeleweka, imekaa katikati hapo
View attachment 2806435
2. kisha nikaja na
n(EUH) = n(E)+n(H)-n(EnH)
70 = 50+40-n(EnH)
n(EnH) = 90-70
n(EnH) = 20 -> hawa waliochukua Economics na History, hii inajumuisha hao watano juu hapo n(HnGnE)
so inabidi utoe kujaza kipande nilichowekea kivuli, ie: 20-5 = 15
View attachment 2806436
3. Nakuja tena
n(HUG) = n(H)+n(G)-n(HnG)
80 = 40+55-n(HnG)
n(HnG) = 95-80
n(HnG) = 15 -> hawa waliochukua History na Geography, pia hii inajumuisha hao watano juu hapo n(HnGnE)
so inabidi utoe vilevile ie: 15-5 = 10
View attachment 2806439
4. Nakuja tena
n(GUE) = n(G)+n(E)-n(GnE)
85 = 55+50-n(GnE)
n(GnE)= 105-85
n(GnE) = 20 -> hawa waliochukua Geography, na Economics, pia hii inajumuisha hao watano juu hapo n(HnGnE)
so inabidi utoe vilevile ie: 20-5 = 15
View attachment 2806474
5. Nakuja Tena
n(HnE'nG') = 10 , ina maana waliochukua History lakini hawakuchukua Economics wala Geog
View attachment 2806441
6. vyumba vilivyobaki si unaweza malizia ?
Nionyeshe njia (solution) ya kupata majibu ya hili swali...Habari za wakati huu wana jamiiforum
Kuna ka swali hapa ka O level kana sumbua hivyo nataka kuwasirisha kwa watabe wa jamii forum ila niweze kupata solution yake
SWALI :
2^(8-x) = 8x
Yaani :
Two power eight minus X equals to eight x(eight times X )
Find the value of X.
Asante ,
nahitaji soulution , si jibu pekee !
bila njia ya graph siwezi chomoka hapoNionyeshe njia (solution) ya kupata majibu ya hili swali...
Find the value of y
2^y / (2y-2) = 2
Two power y divide by two y minus two equals to 2.
dronedrake
recent pool of 500 men and 500 women,it was observed that a total of 650 were married.of those married,275 were men and 500 claimed to be happy. Out of 750 claimed to be happy. 400 were men of which 200 were married. Represent this information in a venn diagram and find
(a)the number of married people who are happy
(b)the number of unmarried people who are not happy