Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Najaribu kufanya kwa Ile set mbili ya married na happy, halafu upande wa juu naweka men na wa chini naweka women.Au hii italeta majibu yasiyo sahihi?
set ni 2 tu, disjoint sets, ya men na women

iyo happy na marriage ni sub-sets zao
 
Jibu la hili swali ni x = 8 ,

Kweli Mathematics ni janga la taifa ,

Prove

2^(x-2) = 8x
Weka 8 kwenye x

2^(8-2) = 8(8)

2^6 = 64

64 = 64

Hence proved !

________________________

Nawataka wale walio kua wanakaza vichwa na jibu la makadirio mara wanasema 3..... Waje watii amri na wakubari wao ni vilaza niwape njia

Hili taifa linashida kweye Mathematics walahi [emoji23][emoji23][emoji23]

Ka swali ka form two , realy

Nimesikitika sana ,,
Nimesikitika mnoooo
 
Kuna mawe zako
I am over and out Tango......
 
Hiyo 8 umepataje?
 
Jibu hapo ni 8 mkuu ukipachika kwenye X unapata LHS 64 na RHS 64, wadau wanakuambia eti ukitumia Graph jibu linakuja 3.28 ila ukipachika hilo kwenye X LHS unapata 26.35 na RHS unapata 26.24, halafu wanakuambia eti mathematicians hawashughuliki na decimal points [emoji28][emoji28]
Wanakaza kabisa bongo ,nataka waje wakiri ukilaza ndio niwape solution ,OVA
 
Habari za wakati huu wana jamiiforum

Kuna ka swali hapa ka O level kana sumbua hivyo nataka kuwasirisha kwa watabe wa jamii forum ila niweze kupata solution yake

SWALI :

2^(8-x) = 8x

Yaani :

Two power eight minus X equals to eight x(eight times X )

Find the value of X.

Asante ,

nahitaji soulution , si jibu pekee !
When the bases are equal equate exponents...hii principle inakupa jibu asubuhi Sana X=2
 
Jibu la hili swali ni x = 8 ,

Kweli Mathematics ni janga la taifa ,

Prove

2^(x-2) = 8x
Weka 8 kwenye x

2^(8-2) = 8(8)

2^6 = 64

64 = 64

Hence proved !

________________________

Nawataka wale walio kua wanakaza vichwa na jibu la makadirio mara wanasema 3..... Waje watii amri na wakubari wao ni vilaza niwape njia

Hili taifa linashida kweye Mathematics walahi [emoji23][emoji23][emoji23]

Ka swali ka form two , realy

Nimesikitika sana ,,
Nimesikitika mnoooo
Nahisi umejitungia swali lako..
Swali si hilo swali kwenye power ni {8-x} na si hilo lako {x-2}

Umekosea swali, tizama vizuri.
Jibu la swali lakoni sahihi lakini si kwenye swali halisi. Ukiweka 8 humo, inakuwa 8-8=0 nama yoyote ikiwa na power 0 jibu unajua, upande wa pili itakuwa 64.
 
Yeah kumbe na wewe umeona mkuu jamaa kajitungia kaswali kake, kuna wadau wanasema ukitumia Graph jibu la X ni 3.28 ila ukipachika hilo jibu LHS unapata 26.35 na RHS unapata 26.24, halafu wanakuambia eti Mathematicians hawashughuliki na decimal points
 
Hahaha na wamegoma kukubari ukilaza wapewe njia
 
Back
Top Bottom