Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifanya Content Analysis kuhusu hili bandiko lako utagundua kwamba wewe mwenyewe binafsi inaonekana kuwa haupo serious. Sasa Watu wengine watawezaje kukusaidia ?Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana
Ahsanteni
I'm the oneWho is someone?
I don't have any directions I'm just university studentPlease give me directions what should i do
Duuh kwahiyo kwa Norway nimeshapoteza vipi hizo nchi nyingine?Unataka uende kufundisha somo gani au masomo gani?
Kufundisha norway haiwezekani wanasoma mtaala tofauti na ili uwe teacher kule inabidi usome huko huko then uombe kazi kwa vyeti vyao.
Sawa mkuu iweke nipate muongozo