Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichanganye sasa uwanunulie wakina kareni au sele wanaoishi uswazi, litakufa ndani ya wiki.Gari za kina junior hizo ,fensi ndani kwenye perving blocks au sebule kama uwanja wa TAIFA.
Je wajua hata mtoto wako anaweza kumiliki gari tena Mercedes Benz!
Gari hii Inatumia betri ya kuchaji na umeme,(12v)
Music system (USB,memory card,aux,children songs and tales)
Inafaa watoto wenye umri miaka 3-10
Price :250,000/=(used)
Location: Tabata Dar es salaam
0757187238
View attachment 3143063
Uzi murua kabisa
Nice one
Sisi enzi hizo magari ya mkopo na maboksi[emoji1787]wacha niwanunulie wanangu maana sisi hatupitia hayo maisha
Ulikuwa umenitisha kweli mkuu baada ya kusoma headingJe wajua hata mtoto wako anaweza kumiliki gari tena Mercedes Benz!
Gari hii Inatumia betri ya kuchaji na umeme,(12v)
Music system (USB,memory card,aux,children songs and tales)
Inafaa watoto wenye umri miaka 3-10
Price :250,000/=(used)
Location: Tabata Dar es salaam
0757187238
View attachment 3143063
Enzi hizo hata ukiwa konda wa hiyo gari lazima Jioni upate Mke wa mchongo mkiwa mnacheza kibaba Baba 😅Tuliopitia huku hatuwezi kuzielewa kabisa 😁View attachment 3143093
Laki na nusu mwisho wetu🤣🤣
Ulikuwa umenitisha kweli mkuu baada ya kusoma heading
Zipo gari za aina moja ama zipo na aina nyingine?
Ukinunua nne hivi ukafungua kijiwe cha watoto kuendesha, unaweza kupiga hela Mwezi Ujao wa Likizo Kwa watoto
Laki na nusu mwisho wetu[emoji1787][emoji1787]
Babu wachukulie wajukuu wako hizo zinawafaa wa-enjoyEnzi hizo hata ukiwa konda wa hiyo gari lazima Jioni upate Mke wa mchongo mkiwa mnacheza kibaba Baba 😅
Hahahaha....................nikiwachukulia Kwa namna walivyo wajanja, hawakawii kung'olea wachumba 😅Babu wachukulie wajukuu wako hizo zinawafaa wa-enjoy
Mtu akichukua pieces 3 au zaidi bei haishuki?Aina nyingine zipo pia ila stock yetu ipo aina hiyo boss
Punguzeni Upare Mpate hata ya laki 2 😜Laki na nusu mwisho wetu🤣🤣