Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii ndiyo ogTuliopitia huku hatuwezi kuzielewa kabisa 😁View attachment 3143093
Ipo ila haiwaki labda uwake wewe

Hahaha............Wapare wana undugu na Pesa 🙌Kwa pesa hiyo huyo Mpare hatoi...
Hapo atataka tena kupunguziwa🤣
Kuweni na imani na Wazee 🤗Mzee wa hovyo kabisa🤣🤣🤣
Hahaha..................yaani Mpare ameshakuambukiza Upare wake masikini 😅🤣🤣🤣🤣 nataka hili la laki maana litakuwa halina gharama.
🤣🤣🤣 Nataka linalowaka bwana.Ipo ila haiwaki labda uwake wewe![]()
🤣🤣🤣🤣 atataka afanyiwe "afu selasini"Kwa pesa hiyo huyo Mpare hatoi...
Hapo atataka tena kupunguziwa🤣
Babu si nilikwambia wapare sio watu ndoa ivunjwe, mkakataa😭😭😭Hahaha..................yaani Mpare ameshakuambukiza Upare wake masikini 😅
Hahaha..........tungefanyaje na alilipa milioni 10 zote zile za mahari 😜Babu si nilikwambia wapare sio watu ndoa ivunjwe, mkakataa😭😭😭
Service yake ikoje
Vp vipuli vyake vinapatikana
Tank inabeba mafuta kias gan[emoji3171]🦯[emoji3591]
Babu hufai kabisa wewe😭😭Hahaha..........tungefanyaje na alilipa milioni 10 zote zile za mahari 😜
Mbaya zaidi na kwenye Koti la Babu aliniagizia Koti kutoka Italy kabisa 🤗
Ulaji wa mafuta ukoje kama IST? au inakunywa juice