Kama mtoto wako hana gari pitia hapa

Kama mtoto wako hana gari pitia hapa

Babu si nilikwambia wapare sio watu ndoa ivunjwe, mkakataa😭😭😭
Hahaha..........tungefanyaje na alilipa milioni 10 zote zile za mahari 😜

Mbaya zaidi na kwenye Koti la Babu aliniagizia Koti kutoka Italy kabisa 🤗
 
Service yake ikoje
Vp vipuli vyake vinapatikana
Tank inabeba mafuta kias gan🧑🏾‍🦯‍➡️
 
Hahaha..........tungefanyaje na alilipa milioni 10 zote zile za mahari 😜

Mbaya zaidi na kwenye Koti la Babu aliniagizia Koti kutoka Italy kabisa 🤗
Babu hufai kabisa wewe😭😭
 
Back
Top Bottom