Kama mtoto wako hana gari pitia hapa

Kama mtoto wako hana gari pitia hapa

Inakuwa shilingi ngapi?

Unahitaji hiyo Mercedes benz au model nyingine? Hiyo Benz imebaki moja Used ila model nyingine zipo ila ni mpya

Kuna hii Toyota 550,000/=ukichukua Kuanzia tatu 400,000/=

IMG_5832.jpg
 
Hapana babu, la kwangu.
Hahaha............kwakuwa Mimi na Mzee mwenzangu wa Kipare tunakupenda Mjukuu wetu, nitaongea naye tuongeze ongeze kidogo walau uchukue ile ya milioni 15 ๐Ÿ˜œ

Hatuwezi kuruhusu upande hiyo ya laki 1 ๐Ÿค—
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nataka hili la laki maana litakuwa halina gharama.
 
Back
Top Bottom