Kama mtoto wako hana gari pitia hapa

Sisi enzi hizo magari ya mkopo na maboksi🤣wacha niwanunulie wanangu maana sisi hatupitia hayo maisha
 
Ulikuwa umenitisha kweli mkuu baada ya kusoma heading
 
Zipo gari za aina moja ama zipo na aina nyingine?

Ukinunua nne hivi ukafungua kijiwe cha watoto kuendesha, unaweza kupiga hela Mwezi Ujao wa Likizo Kwa watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…