Kama mtoto wako hana gari pitia hapa

Hapana babu, la kwangu.
Hahaha............kwakuwa Mimi na Mzee mwenzangu wa Kipare tunakupenda Mjukuu wetu, nitaongea naye tuongeze ongeze kidogo walau uchukue ile ya milioni 15 😜

Hatuwezi kuruhusu upande hiyo ya laki 1 πŸ€—
 
🀣🀣🀣🀣 nataka hili la laki maana litakuwa halina gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…