Kama mtu anakopa benki 5 tofauti za Tanzania na akaweza kukimbia nchi bila kugundulika ni ishara kwamba TISS na vyombo vingine vimelala

Nikiangalia video ya raisi akizungumza wazee wote wamekaa wamwangalai tu raisi inatia hata huruma, mama aongea wee wapi yapita sikio hili latokea sikio lile.
Asema wakayafanyie kazi hayo yote yalotokea.
lets be serious mkuu, hivi ulitaka 'hao wazee' wafanyeje wakati kaondoa waliokuwepo kaleta watu wake wenye characters questionable?

una marope, madelu, bao la mkono, kanali ndio sterling chamani kweli kuna uhai hapo? i pity her!

yote kwa yote makosa ya kuruhusu wana mtandao waingie ikulu yataligharimu hili taifa kwa muda mrefu ujao, it was a terrible mistake mzee kipara na wenzake walifanya, ilitakiwa wakomae wasiguse ikulu......

anyway, naona saizi wanafanya calculation za 25, we are doomed......... mama ataishia kulalama hana anachoweza kufanya, kaondoa wale waliokua atleast na guts za kufoka kaweka majina ya kuletewa, tujiandae kwa madhara zaidi
 
Amna hiyo ina security ya serikal ndo maana analalamika
hao wanaoprocess mikopo huko serikalini hawana records zo zote? Mimi kwa maoni yangu ni uzembe tu, tena most likely ni kutoka wizara yetu ya Fedha.
 
"Tulimpiga idd amini", "tulikomboa Africa", "Mambo yetu Ni Siri"
 
Nilisikia Bi Mkubwa akisema Mawaziri mtusaidie huko nikawaza wale Mawaziri aliowakataa Uncle ndio wako pale kuna msaada kweli pale?! Mkopaji anajulikana kwa picha na dhamana zake hata kama ni fake lakin mkono mlefu unaweza kufanya kitu hapo si walipiga picha na doc zipo
 
collution ni mdudu mbaya kuliko virus wa SARS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…