Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

katika uumbwaji wa sola system ni kweli ilikuwa hiyo phisics inayosema ilikuwa ni theory yaani ideal za wataalamu fulani lakini kila mmoja ana maono tofauti na menzie na katika maono hayo ya udhaifu mwingi so wakalinganisha udhaifu na kuchukua theory zenye au yenye madhaifu machache...na unapo sema hoja haina mashiko simply tuu kuwa mfumo wa binaadamu hauwezi onesha kuwa mungu ndo aloumba mwili wa binaadamu unaujua mwili wa binaadamu vizuri katika utendaji kazi wake ..binaadamu is complex organizim hajatokea kibahati mbaya bwana au elimu ya mazingira isemavyo..hiyo theory Inasema kuwa mwanzo palikuwa na radi kali pamona na utando mkuubwa wa gass ya hidrogen na nitrogen.. Nitrogen na oxige na hydroge vikawa vinapigwa na radi vikafanya ionization zikaanguka chini kama amonium nitrate.. Siku hazigandi chumvichumvi za nitrate zikabadilika kuwa amino acidi... Eeh amino acidy zikawa protein.. Protein zikaanza kute deoxyrebose hatimaye firt chromosome ikaudwa..chromozome kikaunda celi ya kwanza wanaiita primitive cell yaana prokaryotic cell ikawa kiumbe wa kwanza huyo kuishi duniani.. Baadae ikafwata sequence za evolution kutoka nyungunyungu samaki apes goliras adi akawa binaadamu.. HIVI HII THEORY KWA MTU MWENYE UTASHI ATAIAMINI KUWA VILE VITU VYOTE VIMETOKEA KIBAATI NASIBU.. radi kilasiku zipo nitrogen nyingi sanaa mbona hayatokei hayo yaliyosemwa yalitokea ndo maana NKASEMA NATAKA ATOKEE BINADAMU KUTOKA MTARONI. free idea usiamini udhaifu ulio wazi
 

Its very complicated
 

Kwako Bwana Rajab kisauti

Nimeangalia maelezo yako.
Nionavyo mimi ni kwamba hujawahi kupata maelezo ya kisayansi yaliyo sahihi na ya kina kuhusu mwanzo wa viumbe hai duniani. Vitabu vipo vingi sana vinavyoeleza jambo hili. Kwa sasa wanasayansi wote wanakubaliana juu ya maelezo rasmi ya mwanzo wa viumbe. Maelezo uliyoyatoa hapo ni mepesi sana na hayaeleweki. Wanasayansi wanakubaliana kuwa viumbe vilianzia kwenye maji au baharini. Wanaanzia na 'primordial soup' ambamo kulikuwa na 'compounds' za kila aina ambazo zilikuwa zinaungana na kutengana. Nitaomba utafute vitabu hivyo au nenda kwenye encyclopedia ya Wikipedia (ipo kwenye mtandao wa intaneti) uanze kujielewesha kutokea hapo. Ninakushauri kwamba utakapokuwa unavisoma vitabu hivyo au maelezo husika usitafute weakness ya maelezo kwani hutaelewa. Maelezo ni magumu. Kumbuka sisi ni sawa na mpelelezi wa makosa ya jinai anayechunguza mauaji yaliyofanyika kutokana na risasi. Mpelelezi huyu anafika sehemu ya tukio bila kuwakuta wahusika na sasa anatakiwa kujenga taswira ya tukio lilivyokuwa. Ndivyo ilivyo kwetu wanadamu wa sasa. Wanasayansi wanapojaribu kugundua kilichotokea miaka zaidi ya bilioni 7 iliyopita wakati hata viumbe wa majini hawakuwepo ni changamoto kubwa sana. Hatuwezi kuwalaumu wanapojaribu kutoa maelezo sahihi ya kilichojiri wakati ule. Dini kwa upande wake maelezo yake yana mapungufu mengi sana kuliko wanasayansi. Kwa mfano dini ya Kikristu inasema umri wa dunia ni miaka 6,000 tu. Wachina peke yao wana historia ya miaka zaidi ya 5,000. Yapo mengi ya maelezo ya dini ambayo yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Ingawa sayansi pia haina majibu yote lakini maswali ni mengi katika dini. Fahamu kuwa dini si ukristu peke yake. Kuna Uhindu, kuna Zoroastrian, kuna Uislamu, kuna Tao kuna dini za kienyeji, nk.
 
nimepata Maelezo ya kisayansi ndo mana nikayatoa na hapo nimezungumzia theory inaitwa SPONTANEOUS THEORY OF ORIGIN OF LIFE..zipo nyingi kama special creation theory..steady state theory..na zingine zilizobaki hazina mashiko kama spontaneous theory...we we ulitaka nizungumzie theory ipi
 
teh teh teh

spontaneous theory kama ilivyo fafanuliwa na Aristotle haina hadhi ya kuitwa scientific theory

kiufupi spontaneous theory ndiyo haina mashiko.
 

who told you this?,and which scientific theory support your premises?

by the way,kwa jinsi ulivyoifafanua hiyo nadharia hata mtoto wa shule ya msingi hawezi kuiamini

lakini kama ungekuwa familiar nayo,nafikiri ungeifafanua vizuri na kila mtu angeiamini hata viongozi wa dini!
 
na kwanini ajifiche wakati watu wanamtafuta.ina maana ni mchoyo na mbinafsi au ni msiri.anaweza kuwa yupo ila sie huyu tunayefundishwa na kuaminishwa.
 
mkuu ukimbana sana atakupa evidence za biblia ambazo pia ni watu wameandika.ila endelea kumweka kwenye kona.mwishowe atakimbia
 

Ukisoma vitabu takatifu, vinakwambia yeye ni wa mwanzo na hakuna alomtangulia. Ndani ya ivo vitabu vinafundisha kuwa yeye ni MUWEZA WA KILA KITU, vitabu hivo vinafundisha kuwa hana MFANO, pia vitabu takatifu vibatufundisha kuwa yeye SIO KIUMBE. Majibu ya nani Mungu ndio hayo. Sasa kama sio kiumbe tena atakuwa kaumbwa? Mana kinachoumbwa ni kiumbe.
 

Kwanini uviite vitakatifu ilihali vinapingana vyenyewe?
Na utakatifu wa kitu hupimwaje?

Na unasemaje hana mfano wakati vitabu vyenu vyasema kuwa alituumba kwa mfano wake?

Hizi ngonjera zinafaa makanisani na misikitini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…