mungu yupo ila kinacho watatiza msimtambue ni kule kutaka kumpa mungu umbile,akili yako ukiiweka kwamba labda mungu anaonekana hivi au vile,huwezi kumtambua utapoteza muda wako!
Mungu yupo ila haya mavitabu ya kubuni tu.
wewe unataka uonyeshwe noti ya 7000 ambayo haipo!lakini unakubali kwamba noti zipo ila si za 7000,umetoa mfano wa noti kwa sababu unaijua noti muonekano wake na jinsi inavyotengenezwa!sijui picha unayo ijenga kwamba mungu anaonekana vipi,sasa wewe unataka uthibitishiwe uwepo wa mungu!kwa muonekano upi!ulioujenga kichwani mwako?mkijadiliana na mtu uwepo wa kalamu ipo au haipo!utakataa uwepo wake kwa sababu ile taswira ya kalamu unaijua!sasa lazima kwanza umju mungu yukoje ili upinge kwamba mungu hayupo!
akili,haionjwi,haiguswi,hainuswi,haihisiwi,haionwi,ila kila mtu anaijua kwa utendaji kazi wake!mungu utamjua kwa kazi zake!au ndugu yetu unajua uhai,unasura gani?au harufu gani,au una ladha gani?
kyuma ya mam yakyo
akili,haionjwi,haiguswi,hainuswi,haihisiwi,haionwi,ila kila mtu anaijua kwa utendaji kazi wake!mungu utamjua kwa kazi zake!au ndugu yetu unajua uhai,unasura gani?au harufu gani,au una ladha gani?
kila kitu kina chanzo chake mkuu. mbona gari halikutokea tu.
Nakuelewa sana tu.
Turudi huu upande unaoutaka sasa kwamba haonekani wala hashikiki.
Vipo ambavyo havionekani wala havishikiki lakini vinathibitishwa aidha kwa kusikia, kuonja, harufu, kwa kupimwa nk.
Sasa huyu mungu wenu anathibitishwa kwa njia gani?
Mungu aliumbwa na nani,?
Mkuu... je una uthibitisho wowote kuwa mungu ndiye aliyefanya hayo yote uliyoandika???
ulishawahi kusikia kitu kinachoitwa IQ_ intelligent quotent? we unahisi inapimwa vipi? we unahisi madaktar wa akili wanafanya kazi zao vipi kwa kitu ambacho kwa madai yako hakionekan,hakionjwi,hakinuswi n.k
ndio maana nataka nijue kwa uelewa wako akili maana yake ni nini?
Evolution plus the big bang which created the universe. Jiulize nani kaumba almasi? kwanini tuamini kuwa carbon iliyokandamizwa kwa miaka mingi imezaa kito kizuri hicho lakini tusikubali evolution. Kwanini tusiulize kwaninini kulikuwa na dainasos ambazo zilitokea lakini mifupa yake ni testimony ya kuwa kumekuwa na mabadiliko kwenye ulimwengu millions years ago. Imani ya kikristu inaenda kwenye miaka elfu sita hivi wakati walioishi Iraq waliandika maandiko ya kwanza ambayo yamekuwa hata kwenye agano la kale. Je vipi wahindu na wabudha ambao maandiko yao nayo ni ya zama zile na vipi wachina ambao nao maandio yao ni ya kale. Wapo wanaoamini katika incarnation na hawa wamekuja kabla ya biblia tunayoisoma sasa. Let us be scientific and think nani anaumba halafu anaacha viumbe wake wauliwe bila sababu na anaangalia. Nani anaweza kuwa mama au baba wa galax kibao na asikilize kila kiumbe kinachoishi mle? Ana mabalozi au prime ministers? Before wageni kuja kila ukoo, kabira walikuwa na mungu wao je si waliwalinda?
akili,haionjwi,haiguswi,hainuswi,haihisiwi,haionwi,ila kila mtu anaijua kwa utendaji kazi wake!mungu utamjua kwa kazi zake!au ndugu yetu unajua uhai,unasura gani?au harufu gani,au una ladha gani?
Militant atheists wengi huwa ni mashoga kama wewe, unajiitaje mtamu?
Ukisoma vitabu takatifu, vinakwambia yeye ni wa mwanzo na hakuna alomtangulia. Ndani ya ivo vitabu vinafundisha kuwa yeye ni MUWEZA WA KILA KITU, vitabu hivo vinafundisha kuwa hana MFANO, pia vitabu takatifu vibatufundisha kuwa yeye SIO KIUMBE. Majibu ya nani Mungu ndio hayo. Sasa kama sio kiumbe tena atakuwa kaumbwa? Mana kinachoumbwa ni kiumbe.
Muumini katika ubora wako! Huyo Mungu wako ndo anaruhusu kusema maneno usiyo na hakika nayo?
mungu huyu utamtambua kwa kazi zake!tazama ulimwengu ulivyo umbika kwa mpangilio!kuna kasoro yoyote?tazama wili wako ulivyo umbwa!je umetokea kwa bahati mbaya?tazama unapo kula chakula chako.kuna kazu inayofanyika ndani ya tumbo lako.umen'genywaji wa chakula vikachambuliwa vinavyo hitajika na mwili vikatolewa visivyo hitajika!tena kila kimoja kwa njia yake maalum!mwili wako unakupa taarifa juu ya mahitajio yake pale unapokuwa na kiu.njaa.kupata haja n.k.je! Haya yote yapo kwa bahati mbaya?tazama jike na dume!je!uume haukuumbwa maalum kwa ajili ya kupita kayk uke?je!mbegu za uzazi hazikuwekewa sehemu maalum katk fuko la uzazi?je hii yote ni bahati nasibu?nani alimfundisha mbuzi jinsi ya kunyonya?.nani alimfundisha kuku kuparura udongo hata kama yai lake lilitotoleshwa na mashine.kwa hiyo ukitafakari kwa makini uatagundua kuwa haviwezekani vitu hivi kuwa ni mahati mbaya!ila yupo aliye viumba!sas huyo aliye yafanya hayo ndiye mungu!
hujui usemalo ndugu!ila ipo siku utaujua ukweli,sina shaka na imani yangu!japo umeshindwa kuthibitisha kwamba mungu hayupo!