Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Tuambie chanzo cha huyo mungu wako sasa😀
Maana kitu mwenye akili kama yeye haiwezekani kikatokea kwa babati mbaya.

Mkuu unajikanganya sana, labda nirudie tena mi sipo hapa kutaka kujua source ya mungu. mi nataka kujua source ya mwanadamu. mnaniambia alievolve lakin bado hujaleta uchanganuz kuhusu huyu evolve.
 

Katokana na uasili wa mazingira kama tu;

1-Uwepo wa flora na fauna ktk sayari ya earth na kutokuepo kwa vitu hivyo ktk sayari nyengine!
Nb: Sijaongelea Galaxies.

2-Uwepo wa mimea fulani ktk eneo fulani na mimea hiyo hiyo kushindwa kumea ktk maeneo mengine (on Earth).
Nb: Hiyo ni kutokana tu na nature ya eneo fulani namna linavyosapoti zalishaji na ukuaji wa mmea husika.

3- Uwepo wa aina fulani ya flora and/or fauna kutokana na nature ya eneo hilo. Eg: Sehemu za majangwa, baridi kali or Joto.

HOPE UMEELEWA.
 
Mtoa post usipate taabu na wanasayansi wanaosumbua kua Mungu hayupo,hao hao wamefanikiwa kutengeneza na kuunda vitu kibao vyenye spidi ya ajabu sana duniani kwa hili wamefanikiwa kuimudu dunia kwa kiasi kidogo sana!

Wameshindwa kumtengeneza mtu/umba mtu, wameweza robot na makatuni yao!
Wameshindwa kudhibiti majanga ya asili pamoja na Teknolojia yao!
Wameshindwa kuzuia kifo!
Wameshindwa kuongeza uhai wa maisha ya mwanadamu!

Kwi kwi kwi kwa hayo machache tu wanasanyansi na wapinga uwepo wa Mungu aliye mwanzo wa vyote wasinitaabishe!!
 
Mkuu hapa Kuna mawawili coz wanasayansi ( philosophes ) wamesema mungu hayupo af wana prove kabisa kwamba Dunia imeanzaje na mtu katoka wapi .. Af pia tena dini inatufundisha kwamba mungu yupo nayo pia ina prove

Wameprove wapi?nini maana ya nadharia?????....nipe hizo proofs....please
 

Robot wakamilifu bado....
 
Mkuu punguza Kamba utadhania unazungumza na watoto wenzio? na hapo kwenye Bluu nakupinga sababu mimi kuna matukio hadi leo hii nayakumbuka nilikuwa sijatimiza miaka miwili... hadi leo sijayasahahu na nilimuadithia Marehemu Dingi yangu miaka fulani aliniambia unakumbukumbu sana.. ungesema mtu hawezi kumbuka kitu akiwa chini ya mwaka mmoja ningekuelewa.....

Ki ujumla Wayahudi ndio wameanzisha kila kitu na bado wanaendelea kuiongoza na kuiendesha Dunia hayo Maswali yenu mkiwauliza Wayahudi watawapeni Majibu...

Wao ndio Walianzisha Mungu na Kumuabudu hadi leo hii anaabudiwa...

In the Beginning man create God and then problem stated
 
Mgandamizano wa hewa ya joto na baridi, vikikutana husababisha upepo.

mkuu ni bora ukatoa maelezo ya kutosha ingefaa zaid, kwa mfano unapotaja tuelewe oksijen,carbon. na utoe maelezo hizo hewa chanzo chake ni kip?
 
Faith cannot be fully explained by logic.
Logic Is faithless and faith Is illogical

l
 

Hivi kama ni mazingira tu ni kwann isitoke ng'ombe akawa na akili za binaadam kwenye hayo mazingira tofauti?
 

Ni vizuri ukaja na hoja nzuri na sio kariri uliyonayo kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…