Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 566
headache.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambie chanzo cha huyo mungu wako sasa😀
Maana kitu mwenye akili kama yeye haiwezekani kikatokea kwa babati mbaya.
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani. Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadam sio mungu. ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani? uje na lengo la kuelimishana. nawasilisha.
huyo aliyewazaa nan? na asili yake wap?
Mkuu hapa Kuna mawawili coz wanasayansi ( philosophes ) wamesema mungu hayupo af wana prove kabisa kwamba Dunia imeanzaje na mtu katoka wapi .. Af pia tena dini inatufundisha kwamba mungu yupo nayo pia ina prove
Mtoa post usipate taabu na wanasayansi wanaosumbua kua Mungu hayupo,hao hao wamefanikiwa kutengeneza na kuunda vitu kibao vyenye spidi ya ajabu sana duniani kwa hili wamefanikiwa kuimudu dunia kwa kiasi kidogo sana!
Wameshindwa kumtengeneza mtu/umba mtu, wameweza robot na makatuni yao!
Wameshindwa kudhibiti majanga ya asili pamoja na Teknolojia yao!
Wameshindwa kuzuia kifo!
Wameshindwa kuongeza uhai wa maisha ya mwanadamu!
Kwi kwi kwi kwa hayo machache tu wanasanyansi na wapinga uwepo wa Mungu aliye mwanzo wa vyote wasinitaabishe!!
Mkuu punguza Kamba utadhania unazungumza na watoto wenzio? na hapo kwenye Bluu nakupinga sababu mimi kuna matukio hadi leo hii nayakumbuka nilikuwa sijatimiza miaka miwili... hadi leo sijayasahahu na nilimuadithia Marehemu Dingi yangu miaka fulani aliniambia unakumbukumbu sana.. ungesema mtu hawezi kumbuka kitu akiwa chini ya mwaka mmoja ningekuelewa.....Hivi kitu ukikiumba kitajua kimeumbwa lini, kwa mfano gari linafahamu limetngenezwa lini?, hata sisi wanadamu hatuwezi kujua Mungu katuumba au tumetokea wapi, kwani hata kama tulikuwa tunafahamu lazima tusahau kwani nimiaka mingi sana!
Kiukweli ukiangaliatu hii Dunia lazima uamini kuwa kunakiongozi anaeiongoza na kamwe haiwezi dunia kujifanyia yenyewe vyote hivyo na tena kwa mpangilio uliosawa,
kiukweli ni jambo lakushangaza sana watu kutaka kujua ya huko nyuma ilihalitu mwanadamu huwa haweze kukumbuka matukio yake mwenyewe kipindi alikuwa mtoto , namaanisha kwamba mtu huwa hana uwezo wa kukumbuka matukio ya kuanzia amezaliwa hadi miaka minne wengine hadi miaaka sita.
My take..... Tuaminitu kwani hakuna hasara ya kuamini ila inaweza kuwepo hasara yakutokuamini kama ukijakukuta ni kweli. Mwanadamu kaumbwa huko tusipopakumbuka na ameumbwa na huyo tuliyemsahau na hatuwezi kumuona kwasababu yeye katuumba.
Nimaoni yangutu.
Ulikusanywa na upepo.
Huo upepo uliletwa na nani?
Katokana na uasili wa mazingira kama tu;
1-Uwepo wa flora na fauna ktk sayari ya earth na kutokuepo kwa vitu hivyo ktk sayari nyengine!
Nb: Sijaongelea Galaxies.
2-Uwepo wa mimea fulani ktk eneo fulani na mimea hiyo hiyo kushindwa kumea ktk maeneo mengine (on Earth).
Nb: Hiyo ni kutokana tu na nature ya eneo fulani namna linavyosapoti zalishaji na ukuaji wa mmea husika.
3- Uwepo wa aina fulani ya flora and/or fauna kutokana na nature ya eneo hilo. Eg: Sehemu za majangwa, baridi kali or Joto.
HOPE UMEELEWA.
Hivi kama ni mazingira tu ni kwann isitoke ng'ombe akawa na akili za binaadam kwenye hayo mazingira tofauti?
Mtoa post usipate taabu na wanasayansi wanaosumbua kua Mungu hayupo,hao hao wamefanikiwa kutengeneza na kuunda vitu kibao vyenye spidi ya ajabu sana duniani kwa hili wamefanikiwa kuimudu dunia kwa kiasi kidogo sana!
Wameshindwa kumtengeneza mtu/umba mtu, wameweza robot na makatuni yao!
Wameshindwa kudhibiti majanga ya asili pamoja na Teknolojia yao!
Wameshindwa kuzuia kifo!
Wameshindwa kuongeza uhai wa maisha ya mwanadamu!
Kwi kwi kwi kwa hayo machache tu wanasanyansi na wapinga uwepo wa Mungu aliye mwanzo wa vyote wasinitaabishe!!
Huo upepo uliletwa na nani?