Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali nimesha kujibu mara mbili.Kulingana na hoja yako ni mazingiza ndiyo yaliyo fanya kutokea kwa binaadam,sasa kama ni mazingira ndio nikakuuliza kwann ng'ombe asiwe na akili kama za binaadamu kutokana na mazingira hayo?
Umeona hapo? Kwanini isiwe "nini"?ni nani alietofautisha akili za binaadam kuwa tofauti na zawanyama wengine?
Mkuu usipate shida kwa kibantu
Jina Kiranga maana yake ni DEVIL au SHETANI
Najua wajua kilichomtoa kuku manyoya, hata kama
hupendi kujua ukweli najua nafsi yako yajua kuhusu existence
ya Mungu, walikuwepo makamanda zaidi yako kama Mussolin
na Hittler waliopinga uwepo wa Mungu and now they know the
Truth kwi kwi kwi kwi kwi Kiranga the Agent !
Kwani wakina Musolin kufa kwao ndio kunadhihirisha uwepo wa Mungu?
Namimi naomba kujua;
Na pia kwanini watu hawa ni tofauti?
- Mtu mweusi wa kwanza katokea wapi?
- Mzungu wa kwanza katokea wapi?
- Mchina wa kwanza katokea wapi?
- Mjapan wa kwa katokea wapi?
- Mwarabu wa kwanzanza katokea wapi?
Think big wewe hawa ni miongoni mwa vidume wa dunia waliojifanya Miungu watu na kumkanuaga kila mtu na kusema hakuna Mungu na walipenda kuabudiwa na kusujudiwa na kutoa uhai wa mtu yeyote waliotaka Refer the killing of jews!
Lakini pamoja na ubabe wao walishindwa kuzuia vifo vyao!!!
Old Testament inaeleza Adam na Eva baada ya kumwasi Mungu waliambiwa watakufa! Na hili likawa pigo kwa wote wenye mwili lazima kufa hata wewe unayebisha kuwa hakuna Mungu utakufa, That is the secret beyond God's Power!!!
Bible imekuharibu mazima wewe.
Kwani wewe toka huko nyuma umeharibiwa na nini?
Kwani wewe toka huko nyuma umeharibiwa na nini?
Nashangaa unatokwa povu unaposikia kua Mungu yupo teh teh ndo ujue yupo unalialia nini?au umeshiba Gongo!
JARIBU KU CHEKIKwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani. Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadam sio mungu. ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani? uje na lengo la kuelimishana. nawasilisha.
JARIBU KU CHEKI
''DISCOVERY SCIENCE''...WAMESHA THIBITISHA BINADAMU KAUMBWA NA MUNGU
[h=3]If God Created Everything, Who Created God?[/h]
Think big wewe hawa ni miongoni mwa vidume wa dunia waliojifanya Miungu watu na kumkanuaga kila mtu na kusema hakuna Mungu na walipenda kuabudiwa na kusujudiwa na kutoa uhai wa mtu yeyote waliotaka Refer the killing of jews!
Lakini pamoja na ubabe wao walishindwa kuzuia vifo vyao!!!
Old Testament inaeleza Adam na Eva baada ya kumwasi Mungu waliambiwa watakufa! Na hili likawa pigo kwa wote wenye mwili lazima kufa hata wewe unayebisha kuwa hakuna Mungu utakufa, That is the secret beyond God's Power!!!
Kwani kufa ndio kuthibitisha uwepo wa Mungu??
Mbuzi, Ng'ombe, kuku n.k tunaowachinja nao wana roho? Na tukiwachinja zinakwenda wapi? Kufa kila kitu kina exipire muda ukifika, hata mtu, mmea, jengo, gari n.k ikifika wakati inaexpire, aidha kwa ajali au uzee, hapo haimaanishi kuwa Mungu yupo. Thibitisha bila kuleta riwaya za wamisionari.
Habari.
Kuna ambaye anakuambia kuwa Mungu hayupo kwa kumaanisha (MUNGU unayemjua wewe ) ndio hayupo.
Pia kuhusu kujibu mwanadamu ametokea wapi, mwanadamu ametokea katika hatua ya mageuzi na bado anaendelea na mageuzi. Mwanadamu wa leo sio kama mwanadamu wa zamani kwa kila kitu, na mwanadamu wa leo hatakuwa sawa sawa na mwanadamu wa miaka ijayo. Hivyo mwanadamu ni sehemu ya ulimwengu, kupitia miaka na miaka, life likaingia katika hali ya DNA kwenye maji na kutengeneza seli ya kwanza iliyojitengenezea chakula kwa photosynthesis na kujijengea cell membraine kujilinda na hali ya hewa, life likaanza kwenye maji kwani ndipo photosynthesis ilianza, life likaanza kama seli moja, ikadevelop ikakua na hatimaye ikagawanyika kuwa mamilioni ya aina za viumbe, aina hizo mojawapo ikaendelea kubadilika ndani na nje na mpaka ikawa na ufahamu na kuweza kujitambua na kutambua kuwa inaufahamu. Hatimaye safari ya chembe ya uhai imefikia mpaka hatua sehemu ya ulimwengu imeanza kujitambua na kufahamu kuwa ina awareness/consciousness. Na sasa inataka kuuliza imetoka wapi, wengine waliweza kutafakari na kuanzisha vikundi vya watu mbalimbali kufundisha watu na kujenga taasisi katika mitazamo mbalimbali juu ya uhalisia wa maisha. (Na bado uelewa hii utaboreka zaidi na tutazidi kuata majibu zaidi).
Na sasa mwanadamu atazidi kuendelea kubadilika na kujifunza maisha katika experience mbalimbali.
Ndio maana Mungu yupo. Ni chanzo cha ulimwengu wote, energy kuu iliyoanza na kupelekea energy nyingine, ufahamu mkuu uliozalisha aina zote za ufahamu, kila kitu ulimwenguni kimetoka katika energy hiyo ya kwanza, mpaka leo haifi wala haijazaliwa, inabadilika forms tu lakini bado ni ileile. How amazing is life. Everything ni kimoja na kila kitu kimetoka kwake kwani kila kitu kina print yake.
Lakini yule Mungu mwenye ndevu, anayekaa mawinguni na kuchoma waliomkosea na kuwapeleka pazuri waliomfurahisha hayupo. Alikwepo katika kipindi fulani ambapo mwanadamu alipokuwa na ufahamu fulani ambao ni duni na kushindwa kujua mengi kuhusu ulimwengu. Ndio maana ukweli una muda na wakati wake. Zamani walioamini dunia ni flat huo ulikuwa ni ukweli kwa kipindi hiko lakini baadaye wazo hilo hupinduliwa. Kuna ukweli wa mda kutokana na kutojua na kuna ukweli mkuu.
Ndugu Apollo mimi huwa napenda sana elimu yako unayotoa bure ambayo wachache wanaijua lakini hawaifundishi.
Sasa kuna hizi habari za viumba/viumbe vya roho yaani visivyoonekana, simaanishi kuwa ni vidogo sana kana kwamba na lazima tutumie vifaa vya kukuzia, la hasha! Inasemwa vipo na ni vikubwa tu.
Hii imekaaje na mwanzo wao vipi.
Ndugu Apollo mimi huwa napenda sana elimu yako unayotoa bure ambayo wachache wanaijua lakini hawaifundishi.
Sasa kuna hizi habari za viumba/viumbe vya roho yaani visivyoonekana, simaanishi kuwa ni vidogo sana kana kwamba na lazima tutumie vifaa vya kukuzia, la hasha! Inasemwa vipo na ni vikubwa tu.
Hii imekaaje na mwanzo wao vipi.
Hata mi binafsi nimemuelewa sehem kubwa sana ila vp kuhusu hawa viumbe kama malaika, shetan na majin. asili yao nin?
Hili swali nimesha kujibu mara mbili.
Hutaki kuelewa kwa sababu tu umeshaiblock akili yako na imani uliyopandikizwa kwa lazima na wazazi wako.
Nakujibu tena. Mazingira mamoja yanakombination ya atom tofauti, hivyo basi mazingira mamoja yanaweza kutoa organism tofauti (flora na fauna) alizaliwa mbuzi atakua tu na akili za mbuzi kutokana nature yake. haiwezekani mbuzia akawa na akili za binadamu or ngedere coz atom za ubongo wake hazimfanyi kuwa na akili sawa na viumbe wengine wenye atom tofauti katika bongo zao.
Umeona hapo? Kwanini isiwe "nini"?
Kwanini unaamini ni lazima awe kiumbe alietofautisha hizo akili?
Asanteni sana ndugu zangu. Nami ninafurahi kushare kilichopo ndani mwangu.
Mfano mzuri ni kuwa, mtu akiwa anaishi maisha yake katika tamaa na mazoea mabaya. Tamaa mbaya huwa lengo lake kuu ni kuupa furaha mwili. KIla kitu tunachokifanya lengo lake ni kutafuta furaha. Tunapenda furaha. Lakini hatufahamu furaha ya kweli inapatikana wapi. Tunajaribu furaha za kifizikia. Mfano furaha itokanayo na milango ya fahamu. Furaha hiyo tunaweza kusema kuna
Hivyo tunatumia miili yetu kuifurahia furaha, mfano chakula kizuri, picha au muonekano mzuri au unaovutia, kusikia maneno fulani, n.k na mwishowe wengine huingia kwenye zinaa (kutumia ngozi na mguso vibaya), kusengenya (kutumia sauti vibaya), kuiba (kutokana na kutaka kupata huduma fulani ya haraka kwa kutafuta furaha ambayo na wewe pia unaitafuta kwa kula vyema, kunywa vyema (kutumia vibaya ulimi), kutamani pesa (kwa ajili ya kutafuta furaha na kurahisisha maisha lakini na jitihada zote hizo, miili hii tunayoitumia tunaiacha, mali tulizojilimbikizia tunaziacha, sifa tulizonazo, vyeo na kadhalika tunaviacha. Halafu tunaporudi katika uasili wetu tunashangaa kumbe tupo tofauti na huu mwili, akili na mazoea yetu. Wale walioshindwa kutumia maisha yao vyema katika dunia ya kifizikia kutokana na kuwa roho haina mwisho. Roho yao ikiambatana na ufahamu wake, vinaendelea kuzunguka katika dunia ya kifizikia kwani vinashikiliwa na karma mbaya. Karma ni kama energy itokanayo na mkusanyiko wa matokeo ya matendo yako na mkusanyiko huo huambatana na wewe hata baada ya maisha haya. Kama una matendo mabaya karma yako inasababisha nafsi yako kuwa nzito na inapouacha mwili wako unaendelea kuwa nao karibu. Tunafahamu kabisa kuwa mwili ni chengachenga za dunia hii zilizokuwa zinajijenga wakati wa kula. Hivyo na nafsi yako itaendelea kujishikilia katika mzunguko wa maisha kama jini.
- furaha ya muonekano au ipatikanayo kwa muonekano
- furaha ya sauti au furaha ipatikanayo kwa vibration fulani
- furaha ya harufu
- furaha ya mguso au msuguano (furaha ya kutumia ngozi)
- furaha ya ladha (furaha ya kutumia ulimi) n.k
Jini ana ufahamu lakini hana mwili. Kutokana na kukosa mwili anatamani ku experience maisha ya kuwa na mwili. Majini walitumia vibaya muda wao walipokuwa mwanadamu, walikuwa watumwa wa miili yao, tamaa zao, na udunia. Hatimaye wanajifunza kuishi bila kuwa na mwili katika dunia hii ya kifizikia kwa kipindi fulani ambapo Karma yake (Karma ni kama energy ya kipindi fulani cha uhai na mafuta hayo ni aina ya matendo yako) inaisha na kusababisha energy iliyomfanya au matokeo ya matendo yaliyomfanya akawa jini yanaisha kama energy na roho inazaliwa katika aina nyingine ya uhai. Inapokufa tena bila kujitambua itazunguka na kuzunguka katika form mbalimbali. Lakini mwanadamu ndio form pekee inayoweza kujitambua na kuamka.
Wanadamu walioishi katika utakatifu nao Karma yao inakuwa nyepesi na energy nzuri ya matendo bora waliyoishi na pia kutokana walikuwa hawashikiliwi na tamaa za kidunia na kimwili wanaiacha miili yao wakifa na roho yao huingia katika ufahamu au hali kuu ya reality. Walifika huo huwa na uwezo wa uhuru, hawashikiliwi na hali yoyote, wanakuwa katika eternal Bliss yaani utulivu wa asili na amani ya asili ambayo haielezeki. Simaanishi ni kama eneo wanaenda bali ni kama experience ambayo form wanaexperience. Sio mahali bali ni state of consciousness. Nao kwa kipindi fulani kirefu cha muda nao hurudi katika hali ya uhai na kuzaliwa upya na kuendelea na maisha kutegemeana na Karma kwani kuna wanaobaki katika state hiyo milele.KUna wanadamu wanaoamka, na baada ya kuamka wanaweka nadhiri kuamsha wanadamu wengine. Lakini inakuwa vigumu kwao kuwaonyesha mwanga moja kwa moja kwani sio kila aliyekuwa kipofu anaweza kuhimili mwanga mkali usiofikirika.
Asante, huo ni mojawapo kati ya uelewa nilioufahamu katika imani mbalimbali. Ila haijalishi majini ni kina nani. KInachojalisha hivi sasa "Mimi ni nani, na ninapaswa nifanye nini?". Use this present moment to shape yourself, know thyself, be happy without hurting others, wish others to be happy, respect the nature that holds you, share love to every being, and all life forms. Na kuwa na amani ya asili isiyotegemea tamaa za mwili huu wala tamaa za dunia hii ambayo kila kitu kina mwisho na mwanzo na mwisho wa kimoja ni mwanzo wa kingine. Bali kuwa na amani ya asili iliyopo ndani mwako ambayo haina mwanzo wala mwisho, na lugha yake ni "ukimya".