Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Mkuu naona unazunguka mbuyu,
Unapenda kujifurahisha na kuongea vumbi
katikati ya watu wenye akili, Kama wewe mjanja
ongeza hata idadi ya unywele mmoja kwenye kichwa
chako! Au niambie mwisho wa kuishi kwako ni miaka mingapi?
kama huna majibu ya hayo ni Kiranga tu!

Hujathibitisha mungu yupo, hujajibu swali, umerukia habari isiyo kichwa wala mguu, ambayo haina uhusiano wowote na kuwapo kwa mungu.

Mimi na wewe nani anazunguka mbuyu?

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
Hili ndo tatizo la kujadili na vichaa! Huyu mtu nimeisoma michango yake anarukaruka tu, Kiranga ungekua na ufahamu japo kidogo ungereason wewe asili yako ni wapi au na wewe ni Chimpanzee origin???au niko nazungumza na Zombi!
 
God created Man!
Old Testament,chapt 1:26 .......
 
Asante sana ndugu yangu, hapo inaonekana maisha yetu mfano wa game ukimaliza stage ya kwanza unaingia stage ya pili vivyohivyo ya 3,4 na kuendesha mpaka game liishe. Lakini ukikosea stage 1 mara3 unarudia stage uliyotoka.😛

Yeah, Maisha kiuhalisia ni kama Illusion, kuna gurudumu. Ufahamu una stages, kila stage ina umuhimu wake na kila stage ina lengo lake. Tunapaswa kufuata hatua sahihi. Tukiishi katika njia sahihi tunatayarisha stage ya ufahamu wetu inayofuatia kuwa bora zaidi ya hii iliyopo hivi sasa.
 
Thank you.
 
Ni kweli kabisa kabisa unavyosema Dr. Aluta, ukiona gari barabarani ujue limeundwa na hata wazee wa busara walishasema "ukiona vyaelea ujue vimeundwa."

Vile vile ukiona kuna Mungu anaelea elea hewani ujue ameundwa. Sasa tuambie, Mungu na yeye kaundwa na nani?

Mbona hakukujibu?
 
Mkuu maisha ni reality!
 
Kingine ambacho ningependa kushare na ndug zangu wengi.

Kuna watu wanaopenda kuuliza sana maswali kwa lengo la kufahamu zaidi. Kutokana na imani zao walizonazo labda ni ukristu na uislam wamekuwa wakiuliza maswali ambayo yametokana na mizizi waliyoambiwa katika imani zao.

Mfano maswali ya kama Mungu Yupo? Sisi tumetoka wapi?

Haya maswali hatuwezi kupata majibu kamwe kwa kumuuliza mtu bali tunapaswa kuexperience jibu ndani yetu. Huwezi kuuliza maswali haya na kupata majibu kama ukiwa umelala (kutoelewa illusion na reality kutokana na mind). Wala huwezi kupata majibu yake kwa mtu aliyelala lakini anaota. Bali maswali hayo kila mmoja anatakiwa awe na jibu lake ndani kutokana na kuchunguza yeye mwenyewe kwa kina.

Kumjua Mungu ni nani, Kuufahamu Mwanga halisi, kuamka katika illusion ya ulimwengu huu lazima wewe mwenyewe ufanye jitihada kujitambua. Ukishaamka majibu haya utayapata. Hutapata majibu kama jibu bali utapata jibu kama experience na jibu. Na experience hiyo ndiyo nyumbani na ndiyo asili yetu. Vyote hivi ni dunia iliyoprojected kwa human minds.
 
Mkuu maisha ni reality!

Asante mkuu kwa mtazamo wako. Ningefurahi kupata majibu ya hili swali ndugu yangu...

Ukiwa umelala unaota ndoto, na unaamka na kujikuta hata mwili ulikuwa unaota ndoto sawa na wewe, unaweza ukakuta umetoka jasho, unatetemeka na kadhalika. Je ulikuwa unajua kuwa ilikuwa ni ndoto tu? Nini kinachofanya kwenye ndoto unaona ni REAL? Je ni nini kinachotumika kusema hiki ni real na hiki ni illusion?

Asante.
 
Kingine ambacho ningependa kushare na ndug zangu wengi.

Kuna watu wanaopenda kuuliza sana maswali kwa lengo la kufahamu zaidi. Kutokana na imani zao walizonazo labda ni ukristu na uislam wamekuwa wakiuliza maswali ambayo yametokana na mizizi waliyoambiwa katika imani zao.

Mfano maswali ya kama Mungu Yupo? Sisi tumetoka wapi?

Haya maswali hatuwezi kupata majibu kamwe kwa kumuuliza mtu bali tunapaswa kuexperience jibu ndani yetu. Huwezi kuuliza maswali haya na kupata majibu kama ukiwa umelala (kutoelewa illusion na reality kutokana na mind). Wala huwezi kupata majibu yake kwa mtu aliyelala lakini anaota. Bali maswali hayo kila mmoja anatakiwa awe na jibu lake ndani kutokana na kuchunguza yeye mwenyewe kwa kina.

Kumjua Mungu ni nani, Kuufahamu Mwanga halisi, kuamka katika illusion ya ulimwengu huu lazima wewe mwenyewe ufanye jitihada kujitambua. Ukishaamka majibu haya utayapata. Hutapata majibu kama jibu bali utapata jibu kama experience na jibu. Na experience hiyo ndiyo nyumbani na ndiyo asili yetu. Vyote hivi ni dunia iliyoprojected kwa human minds.

Sasa mkuu kwenye kuexperience utajuaje hiki ni kweli na hiki ni uongo? Tafadhali kwa usumbufu wa maswali yangu ndugu yetu.
 
Hili ndo tatizo la kujadili na vichaa! Huyu mtu nimeisoma michango yake anarukaruka tu, Kiranga ungekua na ufahamu japo kidogo ungereason wewe asili yako ni wapi au na wewe ni Chimpanzee origin???au niko nazungumza na Zombi!

Asili yangu ni lazima iwe kwa mungu?

Kama ni hivyo, kwa nini?

Na unawezaje kusema asili yangu ni lazima iwe kwa mungu wakati hujaweza kuthibitisha mungu yupo?

Una assume tu na kurahisisha jibu la swali gumu ambalo ni wazi hujatupa jibu lake?

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
Hili ndo tatizo la kujadili na vichaa! Huyu mtu nimeisoma michango yake anarukaruka tu, Kiranga ungekua na ufahamu japo kidogo ungereason wewe asili yako ni wapi au na wewe ni Chimpanzee origin???au niko nazungumza na Zombi!

Wewe unayemuabudu usiyemuona wala kumjua ndio kichaa, kwa nini unang'ang'ania uwepo wa Mungu????
 
Ni kweli kabisa kabisa unavyosema Dr. Aluta, ukiona gari barabarani ujue limeundwa na hata wazee wa busara walishasema "ukiona vyaelea ujue vimeundwa."

Vile vile ukiona kuna Mungu anaelea elea hewani ujue ameundwa. Sasa tuambie, Mungu na yeye kaundwa na nani?

duh!wewe ni kiboko yao
 
Je,ni halali na ni sahihi kwa mtu mweye kutafakari kusema hata haya uliyoandika hapa yaliyokea tu?

Hahahahahaaaaa!
Kwanza atakaesema hayo yamejileta mwenyewe atakua 'PUNGUANI'!
Pili got your point.

Na tatu ni kwamba neno "Mungu" tunalifasiri tofauti.

For sure Mungu kwa maana ya Super Natural Power ndio iliyoumba. na ambayo haina pirika za kuandika vitabu wala kuahidi mbingu na moto vile vile haijaweka laana kwa tabaka fulani la watu.
 
Ni lazima kitu complex kiumbwe?
 
Back
Top Bottom