Maziku-Winston Smith
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 296
- 168
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichobaki sasa hivi unaruka na kukanyaga, nahisi naongea na Zombi aka abnormal, hakika wewe sio mzima unahitaji ukombozi!!!akili yako imenasa ndani ya ujinga!
Kwa akili yako fupi, hakuna jambo lolote unaweza kulikubali kuhusu existence ya Mungu naamini baada ya muda mfupi atakufikia tu na utajua kuwa yeye yupo!Otherwise endelea kufanya utafiti wako hapa na kukusanya maoni ya watu umalizie paper yako then usubmit kwa Supervisor wako maana kwa akili yako unaelekea kufeli final yako mpaka unatia huruma!
Kilichobaki sasa hivi unaruka na kukanyaga, nahisi naongea na Zombi aka abnormal, hakika wewe sio mzima unahitaji ukombozi!!!akili yako imenasa ndani ya ujinga!
Kwani wewe ulichoandika kimethibitisha wapiUlichoandika hakithibitishi kwamba mungu yupo.
Kwani wewe ulichoandika kimethibitisha wapi
Nikugeuzie kibao kidogo.
Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hajaumbwa na mungu mwingine kaumbwa na nani? Au kajileta mwenyewe hapa duniani/ulimwenguni? Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Waamini, walokole, wakristo,waislam wanaosema mungu hajaumbwa wamejitahidi sana kueleza asili ya Mungu na vitu vingine. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya Mungu sio mwanadamu. Ni kweli muumbaji wa huyo mungu aliyemuumba huyu mungu wanayesema kaumba vitu vingine anaweza akawa hayupo je? Mungu kaumbwa na nani? Uje na lengo la kuelimishana. Nawasilisha.
Mtazamo wa AKILIhuru.
Ukijiangalia wewe pamoja na mazingira yanayokuzunguka ukastaajabu sana isiwe kigezo cha kusema mungu yupo kisa tu umekosa majibu ya baadhi ya vitu!
Kwanini usimtazame huyo mungu na mazingira yake unayoyasoma kwenye vitabu????
Kwa mujibu wa maandiko ujuzi wa maisha ya mwanadamu na mazingira yake haujafikia hata nusu ya ujuzi wa maisha ya huyo mungu.
Sasa jiulize hivi...kwanini ukijiangalia wewe ukastaajabu unasema umeumbwa, lakini ukimuangalia huyo mungu unastaajabu zaidi lakini unasema hajaumbwa. Hii ikoje? Tatizo ni imani za ovyo zimewaharibu.
Bro mungu achunguzwi siri yake anajua mwenyw ukitaka kuamin mungu jarbu kuwa unawaza hizi nguvu za kichawi nazo ni by nature o kuna kitu behind cpend tumjadili muumba na yy hapendi xo tuyaache ka yalivo cku ukifa ndo utaamini yupo au hayupo we c kiburi
kwani #Kiranga unamatatizo gani?
Kwa nini unafikiri nina matatizo?
Je kufikiri nina matatizo na kuniuliza nina matatizo gani bila hata kuna haja ya kuhalalisha swali lako kwamba nina matatizo gani si tatizo?
Nani ana matatizo sasa kati yangu mimi na wewe?
unataka ushahidi gani wa kuthibitisha uwepo wa mungu?
Ushahidi usiopingika.
Kama upi nikuthibitishie?
Mimi nakuomba wewe unipe ushahidi wa kuwapo mungu halafu wewe unaniuliza mimi kama upi tena?
Unaelewa ulichoandika hapo?
Nimekupa nafasi unipe ushahidi wa kuwapo kwa mungu usioweza kuoneshwa kwamba umepwaya wala kupingika.
Unaujua ushahidi wa aina hiyo?
Kuna mambo ya kubishana ila sio yamhusuyo MUNGU, MUUMBA WA VYOTE
Umbo la binadam ukilitafakali kwa kina tu unaweza tambua yakuwa kuna muumbaji na si mwengine bali yule alieuweka usiku na pia mchana sasa ni kweri hauamin tu