UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Acha siasa basi we mwenye uhakika na unachokisema thibitisha huo uwepo wa huyo Mungu.
Baada ya kuweza kusoma nilichokiandika sasa anza kusoma tena ili uwelewe nilichokiandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha siasa basi we mwenye uhakika na unachokisema thibitisha huo uwepo wa huyo Mungu.
Kwanini huyu mungu hajidhihirishi kwetu mbali kwa watu kadhaa walioishi miaka maelfu iliyopita? kama mungu yupo mbona anakubali watoto kuwa mayatima middle east na hata afrika ambako watu wengi wamchao mungu wanaishi? If god is there then he has failed humanity by not destroying '' Satan'' who happens to be his immediate competitor.
Galileo ali prove theory ya kuwa dunia sio Flat na ni sphere Kipindi hicho alipingwa sana na Kanisa la Roma na kupelekea kutengwa Lakini investigation zake ziko clearly na ni proved kabisa the Earth is sphere hata waumini wa kileo waverify hilo...Wanasayansi tunamzika mungu kwa kweli na kwa taarifa tu Tech unayoiona sasa haijafikia ata asilimia 10% ya kufikiri ya ubongo wa binadamu je tukufijiri mpaka 50 dunia itakuwa wapi ki technology
Kitu kisichokuwepo kinathibitishikaje sasa?ikifika 50%- tutakuwa na evidence za kuthibitisha uwepo wa Sir God
Kitu kisichokuwepo kinathibitishikaje sasa?
Hakuna sababu ya kuchunguza uwepo wa mungu mana hautuzui kutenda mambo yetundio kazi ya sayans hiyo, kuthibitisha visivyokuwepo
Robot wakamilifu bado....
Hata wewe ni sehemu ya uungu.
Kwa hiyo na mimi ni Mungu?!!...yeeeeepiiii!
mtajua yote pindi mtakapokufa
Dah sometime bora uamini halafu unachokiamini usikikute. Kuliko kutoamini kabisa.
Mambo ya kubahatisha nayo yalishapitwa na wakati. Utaamini vipi kitu kisicho na uhakika?
Una maana mungu hayupo?
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani. Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadam sio mungu. ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani? uje na lengo la kuelimishana. nawasilisha.
Una maana mungu hayupo?