Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIVI INAWEZEKANA VP KUSEMA KABISA KUWA KITU FULANI HAKIPO KWA KUJIAMINI(sio una mashaka) HALAFU USIWE NA CHA KUTHIBITISHA KUTOKUWEPO KWA HICHO KITU?
Mungu yupo kutokana na utofauti wa maarifa kutoka binadamu mmoja hadi mwingine.
Kisichokuwepo hakithibitishiki!
Mungu yupo kutokana na utofauti wa maarifa kutoka binadamu mmoja hadi mwingine.
Utofauti wa maarifa ya binadamu kutoka mmoja hadi mwingine kuna uhusiano gani na uwepo wa Mungu?
Akikujibu niite
kwani ni lazima aumbwe!? Hawezi akawa alitokea tu?
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani. Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadam sio mungu. ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani? uje na lengo la kuelimishana. nawasilisha.
Hizi sio zama za kuuliza uwepo wa Yehova Mungu ni zama za kujiuliza kama umeokoka!
Mpumbavu aaema moyoni mwake Kuwa hamna Mungu
Kisichokuwepo hakithibitishiki!
Kumbe ulokole ni zaidi ya bangi ya arusha. Aisee
Kumbe ulokole ni zaidi ya bangi ya arusha. Aisee
ha haa haaa aaaah.... ... .. . huyu hajui kuwa ata bwana yesu aliwaambia inabidi wamtafute na kumjua Jehovah/Mungu. ila sio kosa lake, ni kosa la mwalimu/mchungaji wake#
Kisichokuwepo hakithibitishiki!
Hizi sio zama za kuuliza uwepo wa Yehova Mungu ni zama za kujiuliza kama umeokoka!