Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Wewe mwenye uwezo mkubwa wa kupata sababu ziseme na sio kujaribu kujustify kitu bila hoja. Kama hathibitiki basi HAYUPO.
Sasa we unayemjua mbona umeshindwa kuongea la maana zaidi ya hizo 👆👆👆 longo longo

jibu maswali hiyo moja,pili kutokuwepo kwa ushahidi haimanishi hakipo pengine hakuna kipimo ambacho ni rattional kujustify kwenye material world ,mimi naweza kuthibitisha ila unataka uthibitisho wa aina gani na upi?
 
Kwanza sio wanasayansi wote wanasema mungu hayupo
Wapo wengi tu wanaamini mungu.
Binadamu alitokana evolution process
Hakuubwa kama unavyofikiria.

Ungefafanua hizo process mkuu ingefaa zaidi.
 
Vyote kwa pamoja maumbile na fikra. Zijakuelewa swali lako unavyosema anaelekea wapi akiwa ana evolve

stage ipi?mbona tupo constant kwenye birth and death circle ya ecosystem
 
Dah! aisee! even me sometims bible inanichanganyaga sana nikiisoma mpaka naamua kuacha tuu. coz ina maswali mengi yasiyokuwa na majibu

bible isnt a book but a codec message from GOD,you need a holy spirit to reveal the way and truth
 
stage ipi?mbona tupo constant kwenye birth and death circle ya ecosystem

Evolution is a long and slow process, it took place long time ago. No body ever witnessed the evolution rather we can have evidences to justify the evolution. It is very hard for you to know those changes because the evolution process is slow.
Darwin managed it through the study of anatomy.Also, other evidences are embryo, fossil genes and etc.
 
Ungefafanua hizo process mkuu ingefaa zaidi.

Sasa siwezi kufafanua hapa stages zote
Hivi vitu vipo mtandaoni unavipata hata kwa Wikipedia.
"https://en.m.wikipedia.org/wiki/Human_evolution"
Sasa ukiwa na swali lakupinga evolution unaweza uliza ukiona ukubaliani na biology kwahilo
 
hahaha yani unatoa reference kwa kutumia wikipedia what an awful argument,let me tell you evolution was brought by darwin as a lie to convice the world that species had evolved and not created this is a demonic theory na sio law upo halafu ukijua source ya bigbang theory ambaye sio law nayo ndo uje hapa ueleze how did cosmos appear
 
jibu maswali hiyo moja,pili kutokuwepo kwa ushahidi haimanishi hakipo pengine hakuna kipimo ambacho ni rattional kujustify kwenye material world ,mimi naweza kuthibitisha ila unataka uthibitisho wa aina gani na upi?

Utakaonifanya niamini uwepo wake
 
Utakaonifanya niamini uwepo wake

Unatumia vipimo gani katika kuamini kitu,mtu,nini,nani au chochote ?na pili kuwa kuamini ni nini?nataka nipate mtazamo ili niweze jibu sawia naomba majibu
 
Unatumia vipimo gani katika kuamini kitu,mtu,nini,nani au chochote ?na pili kuwa kuamini ni nini?nataka nipate mtazamo ili niweze jibu sawia naoma majibu

We nae kama huna uthibitisho wala sababu za kuamini kwako kaa kimya.
Hata kwenye uzi huu huu ukirudi nyuma kuna baadhi ya majibu ya hayo maswali.

Kwahiyo we una vipimo maalum kupima ili kujua hiki kitu kipo?

Mwisho kabisa mtazamo wangu hauwezi kukusaidia chochote hivyo kama unajibu jibu na kama majibu huna kaa tu kimya tusichone mapema hii leo week end mkuu.
 
kama kila 'kitu' kina chanzo na yeye ametokea wapi,kwanini umemweka katika kundi la vitu ilhali hata wewe sio kitu ni mtu

Bila shaka hukunielewa.

Niliandika hivi,

Kama kila kitu kina chanzo chake na MUNGU ALITOKEA WAPI?

Hebu eleza sasa ni wapi na ni namna gani nimemuweka Mungu kwenye kundi la vitu ilhali hizo ni sentensi mbili huru zikiwa zimeunganishwa na kiunganishi "NA"

Hilo kwenye capital letters ni swali linalojitegemea nililomuuliza jamaa na hiyo sentence ya awali in small letters ni chagizo la kile alichokieleza yeye.
 
We nae kama huna uthibitisho wala sababu za kuamini kwako kaa kimya.
Hata kwenye uzi huu huu ukirudi nyuma kuna baadhi ya majibu ya hayo maswali.

Kwahiyo we una vipimo maalum kupima ili kujua hiki kitu kipo?

Mwisho kabisa mtazamo wangu hauwezi kukusaidia chochote hivyo kama unajibu jibu na kama majibu huna kaa tu kimya tusichone mapema hii leo week end mkuu.

kutokuelewa maana ya maana ni kuwa hujui kama hujui ila si unajua kumbe unajua,nachokuambia hutaka upate uthibitisho unless uniambie ni kipi kitachofanya uamini huo uthibitisho,hoja za kitoto hazina mantiki unless kama ni watoto,nikisema haonekani na yupo mahali pote unahoja ya kupinga maana we humjui mi namjua ukitaka ujue yupo chukua tafsiri ya kwamba chochote kilicho sababisha yote ndo MUNGU kama sauti huioni,nafasi,utupu hewa,na pia huwezi niambia ni kwa namna gani huvioni na vipo ila either unavisikia au kufeel,je unajua hivyo ni nini?au nipe chanzo cha halogen unayeijua au kinachofikiri unafikiria period
 
Bila shaka hukunielewa.

Niliandika hivi,

Kama kila kitu kina chanzo chake na MUNGU ALITOKEA WAPI?

Hebu eleza sasa ni wapi na ni namna gani nimemuweka Mungu kwenye kundi la vitu ilhali hizo ni sentensi mbili huru zikiwa zimeunganishwa na kiunganishi "NA"

Hilo kwenye capital letters ni swali linalojitegemea nililomuuliza jamaa na hiyo sentence ya awali in small letters ni chagizo la kile alichokieleza yeye.

inshort hana chanzo maana sio kitu
 
Back
Top Bottom