kantalambazi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 2,011
- 650
Waungwana unafanyeje kuanzisha Uzi kwenye JF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenye uwezo mkubwa wa kupata sababu ziseme na sio kujaribu kujustify kitu bila hoja. Kama hathibitiki basi HAYUPO.
Sasa we unayemjua mbona umeshindwa kuongea la maana zaidi ya hizo 👆👆👆 longo longo
Kwanza sio wanasayansi wote wanasema mungu hayupo
Wapo wengi tu wanaamini mungu.
Binadamu alitokana evolution process
Hakuubwa kama unavyofikiria.
Vyote kwa pamoja maumbile na fikra. Zijakuelewa swali lako unavyosema anaelekea wapi akiwa ana evolve
Dah! aisee! even me sometims bible inanichanganyaga sana nikiisoma mpaka naamua kuacha tuu. coz ina maswali mengi yasiyokuwa na majibu
bible isnt a book but a codec message from GOD,you need a holy spirit to reveal the way and truth
Holy spirit? how? and frm where?
stage ipi?mbona tupo constant kwenye birth and death circle ya ecosystem
Ungefafanua hizo process mkuu ingefaa zaidi.
Wapi nimeandika Mungu ni kitu?Umejuaje Mungu ni kitu?
Wapi nimeandika Mungu ni kitu?
Sasa siwezi kufafanua hapa stages zote
Hivi vitu vipo mtandaoni unavipata hata kwa Wikipedia.
"https://en.m.wikipedia.org/wiki/Human_evolution"
Sasa ukiwa na swali lakupinga evolution unaweza uliza ukiona ukubaliani na biology kwahilo
jibu maswali hiyo moja,pili kutokuwepo kwa ushahidi haimanishi hakipo pengine hakuna kipimo ambacho ni rattional kujustify kwenye material world ,mimi naweza kuthibitisha ila unataka uthibitisho wa aina gani na upi?
Utakaonifanya niamini uwepo wake
Unatumia vipimo gani katika kuamini kitu,mtu,nini,nani au chochote ?na pili kuwa kuamini ni nini?nataka nipate mtazamo ili niweze jibu sawia naoma majibu
kama kila 'kitu' kina chanzo na yeye ametokea wapi,kwanini umemweka katika kundi la vitu ilhali hata wewe sio kitu ni mtu
We nae kama huna uthibitisho wala sababu za kuamini kwako kaa kimya.
Hata kwenye uzi huu huu ukirudi nyuma kuna baadhi ya majibu ya hayo maswali.
Kwahiyo we una vipimo maalum kupima ili kujua hiki kitu kipo?
Mwisho kabisa mtazamo wangu hauwezi kukusaidia chochote hivyo kama unajibu jibu na kama majibu huna kaa tu kimya tusichone mapema hii leo week end mkuu.
Bila shaka hukunielewa.
Niliandika hivi,
Kama kila kitu kina chanzo chake na MUNGU ALITOKEA WAPI?
Hebu eleza sasa ni wapi na ni namna gani nimemuweka Mungu kwenye kundi la vitu ilhali hizo ni sentensi mbili huru zikiwa zimeunganishwa na kiunganishi "NA"
Hilo kwenye capital letters ni swali linalojitegemea nililomuuliza jamaa na hiyo sentence ya awali in small letters ni chagizo la kile alichokieleza yeye.