Dr Aluta
Senior Member
- Apr 16, 2015
- 121
- 39
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.
Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani.
Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo.
Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi.
Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadamu sio Mungu. Ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani?
Uje na lengo la kuelimishana.
Nawasilisha.