Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Hawa jamaa wananichosha kweliii... .. .huyu mungu wanayemtetea kwa lugha za kejeli/dharau/vitisho na matusi ni mungu gani huyu?
Wanaabudu uoga alafu wanajisifu eti wanamwabudu mungu 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wananichosha kweliii... .. .huyu mungu wanayemtetea kwa lugha za kejeli/dharau/vitisho na matusi ni mungu gani huyu?
ndio nini?
Militant atheists wengi huwa ni mashoga kama wewe, unajiitaje mtamu?
Mkuu usishangae, ndivyo walivyo wakishashindwa kumtetea mungu wao kwa hoja wanaanza kutukana
Kwanini uviite vitakatifu ilihali vinapingana vyenyewe?
Na utakatifu wa kitu hupimwaje?
Na unasemaje hana mfano wakati vitabu vyenu vyasema kuwa alituumba kwa mfano wake?
Hizi ngonjera zinafaa makanisani na misikitini tu.
mungu yupo ila kinacho watatiza msimtambue ni kule kutaka kumpa mungu umbile,akili yako ukiiweka kwamba labda mungu anaonekana hivi au vile,huwezi kumtambua utapoteza muda wako!
kila kitu kina chanzo chake mkuu. mbona gari halikutokea tu.
do you mean that God is out of our imaginative power?
but let me tell this,something that is out of your imagination,it does not exist at all,because imagination is just random pieces of knoweledge&wisdom
Mkuu unajikanganya sana, labda nirudie tena mi sipo hapa kutaka kujua source ya mungu. mi nataka kujua source ya mwanadamu. mnaniambia alievolve lakin bado hujaleta uchanganuz kuhusu huyu evolve.
Mkuu unajikanganya sana, labda nirudie tena mi sipo hapa kutaka kujua source ya mungu. mi nataka kujua source ya mwanadamu. mnaniambia alievolve lakin bado hujaleta uchanganuz kuhusu huyu evolve.
Mungu naye ana chanzo chake?!
nyote mnaokanusha uwepo wa Mwenyez Mungu, hamkusoma vitabu vya dini. Em siku moja chukua Msahaf wa kiswahl then pitia baadh ya mistar af jiulize nan kaandka? alipata wap mistar inayosh mpak leo? kwanin baadh v2 vilivyotajw karne hizo eszimegunduliw hv karibun? kwann maisha yetu yapo kitabun? je huyo alieetunga alikua na akili gan? fikiri mfumo wa maisha..
1- kuna maisha 2mbon pa mama
2- maisha mikonon pa mama
3-maisha ya utoto
4-maisha ya utuuzima
5-maisha ya uzee
6- maisha ya kabur
yoote hayo yametajwa kitabun.. je yapo?
Na kama hamuamin uwepo wake eti kisa haonekani na je mbona mnaamin kwamba fulan ana akili labda darasan je akili zinaonekana? na mbona upepo haunekan lakin watu wana amin upo?
Allah yupo..!
Kwani hata wewe siunaweza kuandika kitabu kwa kuitazama tu jamii?
Muandikaji wa kitabu anajua kwamba kuna mimba, mtoto, kijana, mzee, na kufa ambayo ni kiburi. Je? Wale wanaofia huko maporini nao tuseme mungu alikosea kuandika kuwa yapo pia ya waliofia porini?
Leta ngonjera nyingine maana hizi zinaabudiwa na wasiotaka kufikirisha akili zao
nyote mnaokanusha uwepo wa Mwenyez Mungu, hamkusoma vitabu vya dini. Em siku moja chukua Msahaf wa kiswahl then pitia baadh ya mistar af jiulize nan kaandka? alipata wap mistar inayosh mpak leo? kwanin baadh v2 vilivyotajw karne hizo eszimegunduliw hv karibun? kwann maisha yetu yapo kitabun? je huyo alieetunga alikua na akili gan? fikiri mfumo wa maisha..
1- kuna maisha 2mbon pa mama
2- maisha mikonon pa mama
3-maisha ya utoto
4-maisha ya utuuzima
5-maisha ya uzee
6- maisha ya kabur
yoote hayo yametajwa kitabun.. je yapo?
Na kama hamuamin uwepo wake eti kisa haonekani na je mbona mnaamin kwamba fulan ana akili labda darasan je akili zinaonekana? na mbona upepo haunekan lakin watu wana amin upo?
Allah yupo..!
ndugu mnapoambiwa kuhusu vitabu vya mungu mnakimbilia kusema vimeandikwa na watu,laiki wewe pia unaamini vitabu vilivyo andikwa kupinga uwepo wa mungu,uchunguze mwili wako jinsi ulivyo umbwa!uone jinsi ya mpangilio unavyo fanya kazi!halafu useme kwamba vitu hivyo vinafanya kazi kwa bahati nasibu!hapo ndipo utaweza kugundua yupo aliye tengeneza mapangilio huo!wewe toa ushahidi wa kimazingira kwamba mungu hayupo!
Mkuu .... mi ninavyojua kuna watu walikuwepo kabla ya yesu ama mtume mohhamed ambao mawazo yao mpaka sasa bado yanaishi mfano: plato,aristotle akina socrates na wengine wengi tuuu...
pia hivo vitu ulivyoorodhesha hapo juu hata kabla ya msaafu ama biblia vilikuwa vinajulikana, hivo hakuna jipya.
pia kuhusu uthibitisho sio lazima uwe wa kuonekana... na ndio maana una milango mitano ya fahamu, kwa mfano hakuna anayebisha uwepo wa barid,joto,harufu,ladha n.k
Na kama wewe unahisi hakuna uthibitisho wa upepo pia unayo haki ya kukataa uwepo wa oxygen,hydrojen,nitrogen,carbon n.k
Uthibitisho ni kutokuwepo kwake.
Unachopaswa wewe ni kuipinga hoja yangu kwa kumthibitisha.
Mimi nasema Tanzania hamna noti ya sh 700, wewe ukisema ipo ndio nitakuhitaji uithibitishe.