Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
kila kitu kilicho umbwa kina aliye kiumba,mungu ni muumbaji hana sifa ya kuumbwa!hii ni sawa sawa na mtu akuulize aliyejifungua ni mwanamume au mwanamke.bila shaka swali hilo litakuwa halina maana kwa sababu wote tunajua kwamba mwamamume hana sifa ya kuzaa!hivyo mungu ni muumbaji hata sifa ya kuumbwa!
Hivi mkuu kabla ya Mungu kuwepo kulikuwa kuna nini?