Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kajifunze kwanza kuandika ndio uje hapa
 
Kajifunze kwanza kuandika ndio uje hapa
Umeishiwa hoja unaanza viroja sasa.

Haya hangaikeni na hiyo hakuna kujadili kitu kingine leo mpaka mmejibu hii hoja.

Kijana acha kujiaibisha basi kwahiyo binadamu wa kwanza alitokana na nini nipe from the scratch nipe in dots halafu unajua hapa tupo kwenye intelligence forum hakuna msamiati wa "jiongeze"

Nataka unipe mchakato wa kutokea kwa uhai what were the influences i want the cradle of life from the nucleus.
 
Nimetumia uwezo wangu wa kufikiri. Yaani nikijifunza huwa naongeza na yangu
Kijana acha kujiaibisha basi kwahiyo binadamu wa kwanza alitokana na nini nipe from the scratch nipe in dots halafu unajua hapa tupo kwenye intelligence forum hakuna msamiati wa "jiongeze"

Nataka unipe mchakato wa kutokea kwa uhai what were the influences i want the cradle of life from the nucleus.
 

Jibu swali langu ulilolikimbia ndio uulize la kwako!
 
Tatizo umeupumbaza ubongo wako kwa kupenda kusoma. Kuhusu mwanadamu wa kwanza kuwepo hili swali hakuna anayeweza kujibu. Maana wanadamu wa mwanzo kabisa alikuwa na changamoto kubwa zaidi ya kuhifadhi kumbukumbu. Yaani hakuwa na muda wa kufikiria kuwa yeye ametokea wapi. Mazingira aliyoyakuta yalikua changamoto tosha. Yaan alipambana na wanyama wakali bila silaha, alipigwa na baridi bila nguo, alilala nje pasipo na uzio, alinyeshewa na mvua. Hivyo ni baadhi kati ya changamoto ambazo alikua anapambana nazo. Kwahiyo hakuwa na mawazo ya kutunza kumbukumbu
 
Dah! Unaamini kitu gani ndio kilileta uhai?
Au nipe mwanzo wa uhai.

Je wewe ni atheist?
 
Dah! Unaamini kitu gani ndio kilileta uhai?
Au nipe mwanzo wa uhai.

Je wewe ni atheist?
Sasa ndugu yangu, hebu tumia muda kujiongeza. Kama unaamini uhai unaletwa, kwanini huamini kuwa uhai wa mungu wako naye uliletwa
 
Sasa ndugu yangu, hebu tumia muda kujiongeza. Kama unaamini uhai unaletwa, kwanini huamini kuwa uhai wa mungu wako naye uliletwa
Ndio ujue upumbav wa hawa jamaa zetu mkuu [emoji2] [emoji2]
 
Sasa ndugu yangu, hebu tumia muda kujiongeza. Kama unaamini uhai unaletwa, kwanini huamini kuwa uhai wa mungu wako naye uliletwa
Msingi wa hoja yetu unategemea maelewana ya kiimani umeshajua mimi ni Christian nataka kujua wewe umesimamia wapi kati ya hizi...

Judaism,
Christianity,
Islam,
Bahá'í Faith,
Hinduism,
Taoism,
Buddhism,
Sikhism,
Slavic neopaganism,
Celtic polytheism,
Heathenism (German paganism),
Semitic neopaganism,
Wicca,
Kemetism (Egyptian paganism),
Hellenism,
Italo-Roman neopaganism.
Atheism
Paganism

Wewe upo wapi hapo??
 
Sijui nipo wapi hapo. Ila mm siamini uwepo wa mungu
 
Kwahiyo mkuu kuwepo kwa chochote lazima kiwe kimeumbwa? Hebu tuambie hapa huyo mungu mnaesema yupo, yeye aliumbwa na nani?
Yeye ni 'I AM WHO I AM' na pia ni 'ALPHA NA OMEGA' yaani MWANZO NA MWISHO. Unatakiwa kuamini hivyo kwani huna namna nyingine zaidi ya kuvishangaa viumbe vyake vilivyokuzunguka.

Amesema yeye ni 'I AM WHO I AM' na kwamba ni ALkwa hiyo unatakiwa kuamini kwani huna namna ya kumjua zaidi ya kuvishangaa vyote alivyoviumba.
 
Sijui nipo wapi hapo. Ila mm siamini uwepo wa mungu
Aiseee sasa hata unachosimamia hukijui unapataje misingi ya kukitetea unachokiamini acha ulimbukeni kwanza mwenyewe umeshasema haujielewi me nakuelewa vipi sasa?

Msingi wa kupinga uwepo wa Mungu unautolea wapi??

Unajua mtu anachagua black sababu kuna white anachagua out sababu kuna in anachagua night sababu kuna day anachagua life sababu kuna death anachagua lough sababu kuna crying anachagua education sababu kuna ignorance anachagua destruction sababu kuna construction sasa wewe unapinga uwepo wa Mungu sababu kuna kipi?
 
Mimi nikikutaka uamini ulimwengu ni wa mwanzo na wa mwisho utakubali?
 
Duh! Ila umekaririshwa vibaya sana. Mm siamini kwenye kufundishwa au kufuata mikumbo. Natumia uwezo wangu wa kufikiri. Hayo unayoyasema wewe ni makundi tu ambayo wenye akili waliamua kuwagawia
 

Mkuu kuwaza hivi ni jambo jema tu. Wewe uko katika hatua za kuwaza waza tukuwa huenda Mungu hayupo na sio kwamba hayupo!Kuna tofauti kati ya kuwaza na kuwa na uhakika wa jambo. Wewe kwa sasa unawaza tu kwa sababu hujatoa uthibitisho wowote usioacha shaka kama unavyodai sisi tukupe uthibitisho usioacha shaka.Kuwepo kwa mambo mabaya (kadri yako) sio ushahidi pekee kwamba Mungu hayupo.
Nikuulize: Ubaya ni nini?Wema ni nini?Ubaya huanzia na uishia wapi?Wema ni nini na huishia wapi?
Nipe mifano kadhaa ya Mambo mabaya na Mema unayoijua wewe na uthibitisho kuwa mambo hayo ni mabaya au mema pasipo kuacha shaka yoyote.

Unajenga critique yako juu ya dhana ya pembetatu na duara?
Hivi huwezi kukata kata pembetatu ndani ya duara moja?Ikiwa pembetatu zimo ndani ya duara unakataaje ukweli kwamba pembetatu zinaweza kujenga duara? Je kama pembetatu zinaweza kujenga duara utakataaje kuwa duara inaweza kuzaa pembetatu?
Hivi unamkubali Newton kwa mfano aliposema "For every "action",there must be an equal and "opposite" "reaction".Maneno hayo matatu unayaelewaje?

Nikupongeze tu kwamba unajaribu kujifunza falsafa lakini jitahidi utoke huko shimoni.
 
Duh! Ila umekaririshwa vibaya sana. Mm siamini kwenye kufundishwa au kufuata mikumbo. Natumia uwezo wangu wa kufikiri. Hayo unayoyasema wewe ni makundi tu ambayo wenye akili waliamua kuwagawia
Dah! Okay let's put in this. Chukulia umenishawishi nimesema hakuna Mungu likini Bible inasema kuanzia kuuwapo kwa ulimwengu mpaka mwisho Bible ipo very cleared on it.

Wewe sasa utayareplace vipi Bible inasema ulimwengu uliumbwa na Mungu wewe unasema ulimwengu uliumbwa na nini?

Bible inasema mwwnadamu wa kwanza ni Adam wewe unasema mwanadamu wa kwanza ni nani?

Bible inasema mwili ndio unakufa roho huishi milele wewe unasemaje?

Bible inasema chanzo cha uhai wewe unasema kipi?

Unatakiwa uwe imefanya research na kupata findings zitakazo crash za Bible na ziwe na mantiki ila cha ajabu wewe unapinga Bible from nothing?? Are you on your sense????

Aiseee mbona mnatia huruma sana "wakuu" mmeharibiwa na imani msizozijua sababu mmesikia kuna watu fulani wanasema hakuna Mungu na wamewavutia na nyie msivyojielewa mnawaamini pasipo na misingi ya imani yenu that's insane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…