Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

kama kazi yake ni kufanya mema na hayo mabaya yanatoka wapi?
Kutokana na watu kumuacha Mungu hayo mabaya yanatokea kutokana na watu kumpa shetani nafasi shetani anawaangamiza kutokana na watu kutotumia utashi na maarifa Mungu amewapa wanapata changamoto kama magonjwa na matatizo mengine.

Kutokana na Neno la Mungu kwa siku za mwisho haya yote yanatokea sababu alishatuonya kuhusu kutokea kwake.
 
ww jamaa pamoja na akili zako zote kwanini ukubali mtu akuhisishe.
Mnanichwkeshaga mnavyosema mtu na akili zako unamuamini Mungu!!!!

Kwani wewe ulivyozaliwa automatic tu ulijua Mungu hayupo? Si ulimsoma watu wanaosema hakuna Mungu wakakushawishi na wewe ukawafuata na kuanza imani ya kutomuamini Mungu kama wao?

Au wewe ilikuaje katika hii imani yako ya atheism?
 
Alafu pia lazima watambue kuwa wao wanaamini Mungu kwakua wanafundishwa. Kama wasingsefundishwa kuwa yupo, basi wasinge amini
Me nasema binadamu ameumbwa na Mungu wewe unasema binadamu ametokea wapi?
 
Mnanichwkeshaga mnavyosema mtu na akili zako unamuamini Mungu!!!!

Kwani wewe ulivyozaliwa automatic tu ulijua Mungu hayupo? Si ulimsoma watu wanaosema hakuna Mungu wakakushawishi na wewe ukawafuata na kuanza imani ya kutomuamini Mungu kama wao?

Au wewe ilikuaje katika hii imani yako ya atheism?
mm nilijua mungu hayupo kabla hata mtu yoyote hajaniambia.
 
Kutokana na watu kumuacha Mungu hayo mabaya yanatokea kutokana na watu kumpa shetani nafasi shetani anawaangamiza kutokana na watu kutotumia utashi na maarifa Mungu amewapa wanapata changamoto kama magonjwa na matatizo mengine.

Kutokana na Neno la Mungu kwa siku za mwisho haya yote yanatokea sababu alishatuonya kuhusu kutokea kwake.
kwanini mungu alimuumba adui shetani.
 
Okay wewe umetokea wapi me naamini mwanadamu ameumbwa na Mungu hivyo Mungu yupo.
kama bidamu ameumbwa na mungu kwanini watoto wadogo hawamjui mungu na wakati huo yeye ndio aliye waumba hadi waanze kufundishwa na vitabu vilivyo letwa na wakoloni?
 
Hili ulilouliza kuna ufafanunuzi nimeshautoa.Endelea kusoma nyuzi zangu uenda ukapata chochote dhidi ya swali lako na maswali mengine.

Nililouliza lipi? Umetoa ufafanuzi upi? Wapi? Huu ni ulimwengu wa hyperlink.

Wka link hapa.

Nitajuaje kwamba ushatoa ufafanuzi na si mzushi tu?

Au utajuaj kwamba kile unachofikiri wewe ni ufafanuzi hakijawa ushuzi tu kama hujanipa link nione ulichoandika na kukichambua?

Kwa nini niendelee kusoma nyuzi zako ili kupata chochote dhidi ya swali langu wakati unanijibu sasa hivi?

Umeandika barua mbinguni na unategemea kupata majibu yaliyo na majibu ya maswali yangu baada ya miezi kadhaa?

Nirejee tena hapa basi:
1.Dhana ya " uwepo" na "kutokuwepo".
Kwanza dhana ya uwepo na kutokuwepo (upungufu) vinatoa dhana ya mambo mawili" yanayohitajiana na kukamilishana.

"Mungu kutokuwepo" (kwa kadri ya tunaodai hivyo).

Tunataka Mungu awepo wapi? Awepo Buguruni,Mikocheni,America au eneo au sayari gani hasa?

Awepo kwenye logic. Asiwe na contradiction.

Je, kuwepo kwa upungufu fulani (weakness/defects) ndio uthibitisho pekee kuwa Mungu hayupo? Je "upungufu" kiini chake kiko wapi kama sio katika "Uwepo"? Huwezi kuwa na upungufu bila kuwepo kwanza "Uwepo".Uwepo ndio unaleta upungufu(kutokuwepo").

Kwanza kabisa, sihitaji uthibitisho pekee kuwa mungu hayupo ili kuonesha kwamba mungu hayupo. Nahitaji uthibitisho wowote.

Inaonekana hujaelewa kwamba mungu anayebishiwa hapa ni muungano wa dhana nyingi.

Kuna mungu muweza yote, mwenye upendo wote na mwenye ujuzi wote.

Anapingwa kwa sababu muungano wa sifa zote hizo, pamoja na dunia hii iliyojaa maovu, unaleta contradiction.

Contradiction hii, upungufu, kiini chake si katika uwepo wa vyote pamoja, ni katika ukweli kwamba vyote vinaweza kutokea tofauti lakini haviwezi kutokea pamoja.

Tukirudi kwenye mfano wangu uliotokea katika mantiki za Euclidean geometry, unaweza kuwa na mviringo bila tatizo, unaweza kuwa na pembetatu bila tatizo. Lakini pembetatu na mviringo ni vitu viwili tofauti.Huwezi kuwa na pembetatu iliyo mviringo wakati huo huo.

Unaweza kuwa na uwepo wa mviringo. Unaweza kuwa na uwepo wa pembetatu. Lakini uwepo wa pembetatu ambayo ni mviringo kwa wakati huo huo ukawa haupo. Uwepo wa Mungu ni kama uwepo wa pembetatu ambayo ni duara hii ninayosema haiwezi kuwepo.

It is a logical contradiction. It does not exist. It is imaginary.

Due to the contradiction stated above.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote anatakiwa awe ameweza kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya. Ulimwengu wetu una mabaya. Hivyo mungu huyo hayupo/
 
Mnanichwkeshaga mnavyosema mtu na akili zako unamuamini Mungu!!!!

Kwani wewe ulivyozaliwa automatic tu ulijua Mungu hayupo? Si ulimsoma watu wanaosema hakuna Mungu wakakushawishi na wewe ukawafuata na kuanza imani ya kutomuamini Mungu kama wao?

Au wewe ilikuaje katika hii imani yako ya atheism?
Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
kwani mungu alimuumba adui shetani.
Mungu hakuwahi kumuumba shetani bali alimuumba malaika wa nuru alivyohasi ndio akawa shetani lakini mwanzo aliumbwa kwa nia njema kama malaika muongoza sifa au light bearer.
 
Naomba unipe michakato yake mpaka mwanadamu ametokea.
Hapo ndipo unapoibiwa kwani wewe unataka utafuniwe kila kitu hutaki kuushughurisha ubongo wako. Wenzetu wapk hivi. Wakiambiwa kitu wanakifanayia utafiti mpaka wathibitishe. Sisi tukiambiwa kitu tunakiweka kichwani na kuanza kukisambaza. Jiongeze bro wewe nawe inabidi uanzishe vitu ambavyo vitakua msaada kwa vizazi vijavyo. Kuamini Mungu ni kuua uwezo wako wa kufanya maajabu maana unatumia mawazo ya wenzako
 
kama bidamu ameumbwa na mungu kwanini watoto wadogo hawamjui mungu na wakati huo yeye ndio aliye waumba hadi waanze kufundishwa na vitabu vilivyo letwa na wakoloni?
Kwani watoto wadogo huwa wanajua kuongea kutembea kusoma achalia mbali kumjua Mungu???

Kwani wakoloni ndio walioleta neno MUNGU Africa je mababu zetu hawakuamini Mungu kabla ya utumwa au ukoloni???
 
Mungu hakuwahi kumuumba shetani bali alimuumba malaika wa nuru alivyohasi ndio akawa shetani lakini mwanzo aliumbwa kwa nia njema kama malaika muongoza sifa au light bearer.
ww wakati mungu anamuumba huyo shetani ulikuwepo kwasababu unajifanya unajifanya unamjua sana mungu kama mmetoka naye kijiji kimoja.
 
Back
Top Bottom