mair erasto
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 413
- 425
kama kazi yake ni kufanya mema na hayo mabaya yanatoka wapi?Good Mungu kazi yake ni uumbaji na kufanya yote mema kwa watu wote. Now he is doing good to His people in heaven praised and glorified.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kazi yake ni kufanya mema na hayo mabaya yanatoka wapi?Good Mungu kazi yake ni uumbaji na kufanya yote mema kwa watu wote. Now he is doing good to His people in heaven praised and glorified.
ww jamaa pamoja na akili zako zote kwanini ukubali mtu akuhisishe.wanasema ni heri kuamini yupo alafu usimkute kuliko kuamini hayupo alafu uumkute
Kutokana na watu kumuacha Mungu hayo mabaya yanatokea kutokana na watu kumpa shetani nafasi shetani anawaangamiza kutokana na watu kutotumia utashi na maarifa Mungu amewapa wanapata changamoto kama magonjwa na matatizo mengine.kama kazi yake ni kufanya mema na hayo mabaya yanatoka wapi?
Mnanichwkeshaga mnavyosema mtu na akili zako unamuamini Mungu!!!!ww jamaa pamoja na akili zako zote kwanini ukubali mtu akuhisishe.
kwa sababu kuhisisha hakunidhuru chochoteww jamaa pamoja na akili zako zote kwanini ukubali mtu akuhisishe.
Me nasema binadamu ameumbwa na Mungu wewe unasema binadamu ametokea wapi?Alafu pia lazima watambue kuwa wao wanaamini Mungu kwakua wanafundishwa. Kama wasingsefundishwa kuwa yupo, basi wasinge amini
mm nilijua mungu hayupo kabla hata mtu yoyote hajaniambia.Mnanichwkeshaga mnavyosema mtu na akili zako unamuamini Mungu!!!!
Kwani wewe ulivyozaliwa automatic tu ulijua Mungu hayupo? Si ulimsoma watu wanaosema hakuna Mungu wakakushawishi na wewe ukawafuata na kuanza imani ya kutomuamini Mungu kama wao?
Au wewe ilikuaje katika hii imani yako ya atheism?
Umefundishwa hivyo. Mm nasema binadamu ametokana na material ya duniaMe nasema binadamu ameumbwa na Mungu wewe unasema binadamu ametokea wapi?
Okay wewe umetokea wapi me naamini mwanadamu ameumbwa na Mungu hivyo Mungu yupo.mm nilijua mungu hayupo kabla hata mtu yoyote hajaniambia.
kwanini mungu alimuumba adui shetani.Kutokana na watu kumuacha Mungu hayo mabaya yanatokea kutokana na watu kumpa shetani nafasi shetani anawaangamiza kutokana na watu kutotumia utashi na maarifa Mungu amewapa wanapata changamoto kama magonjwa na matatizo mengine.
Kutokana na Neno la Mungu kwa siku za mwisho haya yote yanatokea sababu alishatuonya kuhusu kutokea kwake.
Naomba unipe michakato yake mpaka mwanadamu ametokea.Umefundishwa hivyo. Mm nasema binadamu ametokana na material ya dunia
kama bidamu ameumbwa na mungu kwanini watoto wadogo hawamjui mungu na wakati huo yeye ndio aliye waumba hadi waanze kufundishwa na vitabu vilivyo letwa na wakoloni?Okay wewe umetokea wapi me naamini mwanadamu ameumbwa na Mungu hivyo Mungu yupo.
Hili ulilouliza kuna ufafanunuzi nimeshautoa.Endelea kusoma nyuzi zangu uenda ukapata chochote dhidi ya swali lako na maswali mengine.
Nirejee tena hapa basi:
1.Dhana ya " uwepo" na "kutokuwepo".
Kwanza dhana ya uwepo na kutokuwepo (upungufu) vinatoa dhana ya mambo mawili" yanayohitajiana na kukamilishana.
"Mungu kutokuwepo" (kwa kadri ya tunaodai hivyo).
Tunataka Mungu awepo wapi? Awepo Buguruni,Mikocheni,America au eneo au sayari gani hasa?
Je, kuwepo kwa upungufu fulani (weakness/defects) ndio uthibitisho pekee kuwa Mungu hayupo? Je "upungufu" kiini chake kiko wapi kama sio katika "Uwepo"? Huwezi kuwa na upungufu bila kuwepo kwanza "Uwepo".Uwepo ndio unaleta upungufu(kutokuwepo").
ww ulimbwa au ulizaliwa?Me nasema binadamu ameumbwa na Mungu wewe unasema binadamu ametokea wapi?
Unaweza kuthibitisha mungu yupo?Mnanichwkeshaga mnavyosema mtu na akili zako unamuamini Mungu!!!!
Kwani wewe ulivyozaliwa automatic tu ulijua Mungu hayupo? Si ulimsoma watu wanaosema hakuna Mungu wakakushawishi na wewe ukawafuata na kuanza imani ya kutomuamini Mungu kama wao?
Au wewe ilikuaje katika hii imani yako ya atheism?
kwani w usipo kubali kuhisishwa utadhurika na nini?kwa sababu kuhisisha hakunidhuru chochote
Mungu hakuwahi kumuumba shetani bali alimuumba malaika wa nuru alivyohasi ndio akawa shetani lakini mwanzo aliumbwa kwa nia njema kama malaika muongoza sifa au light bearer.kwani mungu alimuumba adui shetani.
Hapo ndipo unapoibiwa kwani wewe unataka utafuniwe kila kitu hutaki kuushughurisha ubongo wako. Wenzetu wapk hivi. Wakiambiwa kitu wanakifanayia utafiti mpaka wathibitishe. Sisi tukiambiwa kitu tunakiweka kichwani na kuanza kukisambaza. Jiongeze bro wewe nawe inabidi uanzishe vitu ambavyo vitakua msaada kwa vizazi vijavyo. Kuamini Mungu ni kuua uwezo wako wa kufanya maajabu maana unatumia mawazo ya wenzakoNaomba unipe michakato yake mpaka mwanadamu ametokea.
Kwani watoto wadogo huwa wanajua kuongea kutembea kusoma achalia mbali kumjua Mungu???kama bidamu ameumbwa na mungu kwanini watoto wadogo hawamjui mungu na wakati huo yeye ndio aliye waumba hadi waanze kufundishwa na vitabu vilivyo letwa na wakoloni?
ww wakati mungu anamuumba huyo shetani ulikuwepo kwasababu unajifanya unajifanya unamjua sana mungu kama mmetoka naye kijiji kimoja.Mungu hakuwahi kumuumba shetani bali alimuumba malaika wa nuru alivyohasi ndio akawa shetani lakini mwanzo aliumbwa kwa nia njema kama malaika muongoza sifa au light bearer.