Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

ww umetawaliwa akili bila wewe mwenyewe kujijua.
na kutolea mfano wa kanisa katoliki ukitoa sadaka inafika moja kwa moja hadi italia.
Vipi nikuambia sio muumini wa Catholic je nitakuwa simuamini Mungu au hayupo sababu sio Catholic?

Kivipi natawaliwa akili kwa kitu ambacho ni accurate and valid proven?

Je wewe hutawaliwi na ideology ya hakuna Mungu?
 
mm ni mtu huru.
 
Me nimetafuta nimesoma vitabu vingi nimeprove kwamba nimeumbw na Mungu sasa umesema tumeumbwa na material asili nipe michakato yake ili nijue nipate kuiamini hiyo ideology yako nitaijuaje na kuiamini pasipo kunielezea nikaielewa?

Umejuaje kama hatujaumbwa na Mungu kama haujasoma mahali kwamba tumeumbwa na Mungu?
Naomba nikupe mfano mdogo tu. Nadhani unamjua kambale. Hivi unajua ni namna gani kambale anatokea? Kama hujui, basi tumia muda wako kufanya utafiti alafu utakuja kuniambia
 
mm sijashindwa na wala siwezi kushindwa kwasababu mm nakuuliza mungu mmetoka naye kijiji kimoja unasema biblia inasema hivyo.
Nimekutaka unipe chimbuko lako lakini naona umenyamaza nataka uniambie ulikotokea wenzako wamelikimbia hili swali.
 
Aliyaandika Matthew kwa uwezo wa Holy spirit.
ww utajuaje? na haya maswala ndio tunayakataa kila siku kama babu wa loliondo akawaambia watu ameoteshwa dawa na mungu cha ajabu watu waliokunywa dawa wengi waliishia kufa.
 
Naomba nikupe mfano mdogo tu. Nadhani unamjua kambale. Hivi unajua ni namna gani kambale anatokea? Kama hujui, basi tumia muda wako kufanya utafiti alafu utakuja kuniambia
Stop talking nonsense unaleta irrelevant issues huku hapa na kamabale wapi na wapi usinipotezee muda nataka majibu yanayojitosheleza haraka sana.
 
ww utajuaje? na haya maswala ndio tunayakataa kila siku kama babu wa loliondo akawaambia watu ameoteshwa dawa na mungu cha ajabu watu waliokunywa dawa wengi waliishia kufa.
Stop talking nonsense habari za loliondo zinahusianaje hapa?
I told you i do believe the Bible.
Hapa siongei kuhusu chochote naongea kuhusu imani.
 
Stop talking nonsense habari za loliondo zinahusianaje hapa?
I told you i do believe the Bible.
Hapa siongei kuhusu chochote naongea kuhusu imani.
kwani liliondo kilicho wapeleka watu sii ni imani kwamba ameoteshwa na mungu hadi ikafikia hatua watu wakamuita nabii.
 
Nilipotokwa povu wapi?

Na unajuaje kwamba ni povu langu na si sensitivity yako?

Unajua kwamba kwa wengine mtu anayesema "Usitokwe povu mkuu" kirahisi bila justification ndiye anayeonekana kutokwa povu kwa kuona povu pasipo na povu?

Unawezaje kujua hili ni povu na hii ni passionate and honest exchange?

Mimi nishakwambia hakuna mtu anayeweza kuishi bila imani. Nishakwambia sipingi habari ya kuwepo kwa mungu kwa sababu ni imani, napinga kwa sababu ni imani potofu.

Sasa unapataje mshipa wa kunihoji bila aibu kama kusema hakuna mungu kunahitaji imani?

Kuna chochote mtu yeyote anachoweza kusema ambacho hakihitaji imani?

Kama kipo unaweza kukitaja hapa?

Nilipoandika kwamba sina tatizo na imani, nina tatizo na imani potofu, ulielewa?
Kuna kujua na kuamini,hivyo suala la kujua halihitaji imani. Sasa labda ueleze hiyo imani potofu ina sifa zipi ili nayo niijue mwalimu wangu.
 
Wanaopinga uwepo wa Mungu watueleze nani aliumba vyote vilivyopo pamoja na yeye. Ni lazima kuna aliyeumba chochote kilichopo. Imani ya uwepo wa Mungu ndiyo Mungu. Vingine vyote vimetokana naye pamoja hao wanasayansi na sayansi yao.
Kwahiyo mkuu kuwepo kwa chochote lazima kiwe kimeumbwa? Hebu tuambie hapa huyo mungu mnaesema yupo, yeye aliumbwa na nani?
 
Back
Top Bottom