Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu.

Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo:

1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO?

  • Kutegemea Umri: Tezi dume hukua kadri umri unavyozidi, hasa kwa wanaume wazee. Hili linazidisha hatari ya matatizo ya mkojo.
  • Msongamano wa Urethra: Tezi dume inapopanuka, hubana urethra na kusababisha matatizo ya kupitisha mkojo. Swali ni: Kwa nini Mungu hii urethra asingeipitisha pembeni yake au sehemu tofauti isiyohusiana moja kwa moja na tezi dume?

2. MADHARA YA KIAFYA YA TEZI DUME:

  • Kuzuia Mkojo: Ugonjwa wa tezi dume (Benign Prostatic Hyperplasia - BPH) husababisha mkojo kushindwa kupita kwa urahisi, hali inayosababisha maumivu na maambukizi ya njia ya mkojo.
  • Hatari ya Maambukizi: Matatizo ya mkojo yanayohusiana na tezi dume yanaweza kuongeza hatari ya maambukizi kwenye kibofu na figo.
  • Shinikizo kwa Mwili: Kuongezeka kwa shinikizo la mkojo kwenye kibofu kunaweza kusababisha matatizo makubwa kama kudhoofika kwa misuli ya kibofu.
Mimi sijaona kwanini Mungu alipitisha huu mrija wa mkojo katikati ya Tezi dume na kutupa shida wanaume tunapoelekea kula PENSHENI zetu baada ya kuwa MANAMBA kwa miaka 30+...
acha kumdhihaki Mungu, ametuumba wanaadamu katika umbo lililobora kabisa, hayo mengine ni makosa yetu wenyewe, tunakiuka mafundisho ya Mola, kila kitu kina instruction manual ,sasa sisi tunakosea matumizi ya miili yetu
 
Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu.

Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo:

1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO?

  • Kutegemea Umri: Tezi dume hukua kadri umri unavyozidi, hasa kwa wanaume wazee. Hili linazidisha hatari ya matatizo ya mkojo.
  • Msongamano wa Urethra: Tezi dume inapopanuka, hubana urethra na kusababisha matatizo ya kupitisha mkojo. Swali ni: Kwa nini Mungu hii urethra asingeipitisha pembeni yake au sehemu tofauti isiyohusiana moja kwa moja na tezi dume?

2. MADHARA YA KIAFYA YA TEZI DUME:

  • Kuzuia Mkojo: Ugonjwa wa tezi dume (Benign Prostatic Hyperplasia - BPH) husababisha mkojo kushindwa kupita kwa urahisi, hali inayosababisha maumivu na maambukizi ya njia ya mkojo.
  • Hatari ya Maambukizi: Matatizo ya mkojo yanayohusiana na tezi dume yanaweza kuongeza hatari ya maambukizi kwenye kibofu na figo.
  • Shinikizo kwa Mwili: Kuongezeka kwa shinikizo la mkojo kwenye kibofu kunaweza kusababisha matatizo makubwa kama kudhoofika kwa misuli ya kibofu.
Mimi sijaona kwanini Mungu alipitisha huu mrija wa mkojo katikati ya Tezi dume na kutupa shida wanaume tunapoelekea kula PENSHENI zetu baada ya kuwa MANAMBA kwa miaka 30+...
Alitaka mwanadamu ajijue hana ujanja
 
Utasema kwanini Mungu hakuwawekea watu vyuma badala ya mifupa inayovunjika kirahisi.
 
Tatizo la kushiba kiporo unamhoji hadi Muumba aliyekuumba!

Mungu ni mkamilifu kwa viumbe wote!

Ukiona umeumbwa makalio yametengana usihoji kwanini yametengana wakati alitakiwa kuyaunga liwe tako moja!

Unachopaswa kujua lipo kusudi la kila umbo cha mhimu ni wewe kuzingatia matumizi!

Tukirudi kwenye msingi wa swali lako!
Mwili unatabia ya kubalance wenyewe viungo vyote!

Tezi dume inamuunganiko mkubwa na miguu (au matumizi ya nguvu)
Kwamba unatakiwa utembee umbali japo hatua 1000 kwa siku au utumie nguvu kiasi cha kutoka jasho ( imeandikwa mtakula kwa jasho)

Lile jasho ndilo hubalance tezi dume!

Ile kula kwa jasho haikuwa na maana tu ya adhabu bali pia ni sehemu ya kubalance mwili!

Jasho lisipotoka tezi inanenepa na kuziba! Sasa hapo makosa ni ya nani wakati Mungu kasema kuleni kwa jasho?
Hii imekaa vizuri kiongozi. Umemjibu kwa hoja kabisa
 
Tezi dume ndo mshipa wakuu..
Unakuta mtu ana pumbu kubwa
 
Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu.

Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo:

1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO?

  • Kutegemea Umri: Tezi dume hukua kadri umri unavyozidi, hasa kwa wanaume wazee. Hili linazidisha hatari ya matatizo ya mkojo.
  • Msongamano wa Urethra: Tezi dume inapopanuka, hubana urethra na kusababisha matatizo ya kupitisha mkojo. Swali ni: Kwa nini Mungu hii urethra asingeipitisha pembeni yake au sehemu tofauti isiyohusiana moja kwa moja na tezi dume?

2. MADHARA YA KIAFYA YA TEZI DUME:

  • Kuzuia Mkojo: Ugonjwa wa tezi dume (Benign Prostatic Hyperplasia - BPH) husababisha mkojo kushindwa kupita kwa urahisi, hali inayosababisha maumivu na maambukizi ya njia ya mkojo.
  • Hatari ya Maambukizi: Matatizo ya mkojo yanayohusiana na tezi dume yanaweza kuongeza hatari ya maambukizi kwenye kibofu na figo.
  • Shinikizo kwa Mwili: Kuongezeka kwa shinikizo la mkojo kwenye kibofu kunaweza kusababisha matatizo makubwa kama kudhoofika kwa misuli ya kibofu.
Mimi sijaona kwanini Mungu alipitisha huu mrija wa mkojo katikati ya Tezi dume na kutupa shida wanaume tunapoelekea kula PENSHENI zetu baada ya kuwa MANAMBA kwa miaka 30+...
Ndg mwana sayansi ulitaka iwekwe kiunoni?
 
Back
Top Bottom