Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

acha kumdhihaki Mungu, ametuumba wanaadamu katika umbo lililobora kabisa, hayo mengine ni makosa yetu wenyewe, tunakiuka mafundisho ya Mola, kila kitu kina instruction manual ,sasa sisi tunakosea matumizi ya miili yetu
 
Alitaka mwanadamu ajijue hana ujanja
 
Utasema kwanini Mungu hakuwawekea watu vyuma badala ya mifupa inayovunjika kirahisi.
 
Hii imekaa vizuri kiongozi. Umemjibu kwa hoja kabisa
 
Tezi dume ndo mshipa wakuu..
Unakuta mtu ana pumbu kubwa
 
Ndg mwana sayansi ulitaka iwekwe kiunoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…