Kama Mungu ni mmoja Kwa nini kuna dini nyingi tofauti duniani?

Yahweh anasema ana wivu sana lakini ameruhusu maelfu ya miungu kuabudiwa miaka na miaka mpaka sasa.
 
Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
ni kweli Mungu ni moja ila miungu ndiyo wengi mpaka kwenye magome ya miti na visiki wapo 🐒
 
Kwa Hali ilivyo, Mungu wa wakristo na waislamu ni tofauti, Hali kadhalika na dini nyingine pia ni hivyo hivyo, kusema mungu wetu ni mmoja ni unafiki wa kiwango cha juu kabisa.
 
Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.

Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
Kumbuka shetani ni yule yule kila dini/imani hapo ndio utajua hizi dini ni mchezo wa akili.
 
Wamisionari ndio waliokuja na hiyo kauli ya Mungu mmoja ili tuache miungu yetu na kufuata Mungu wao. Ona Mungu wa Israel, hapo sio upigaji kweli! Kila maisha katika huu ulimwengu yana Mungu wake.
 
1732395536017.jpg
 
Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu mmoja yupo kweli.
 
Back
Top Bottom