Kama Musonda akiingia katika Mfumo na akacheza pamoja na Mayele tarehe 9 April 2023 nitajificha kwa Aibu ya Kufungwa nyingi

Hii hofu pia inatengenezwa na kocha kwa kutokumuamini Bacca. Bacca nimemuangalia kwa mechi alizocheza ni beki haswa lakini sijui ni kipi Nabi kinamfanya asimuamini.
Mkuu Bacca ni mchezaji mzuri kinachombeba ni umbo lake ila changamoto yake ni aina ya mabeki wanashindwa kupiga pass. Yan hakuna utofauti mkubwa sana wa Bacca na Mwamnyeto
 
Kaka mmedroo na CSKA Moscow timu inacheza mpaka michuano ya UEFA,mmeongeza kiungo mkata umeme ila bado mna wasiwasi na Yanga.
 
Ni mwendawazimu pekee anayeweza kukuamini ukisema SIMBA angalau ina jambo jema hata moja,ndio maana ukiambiwa ww ni hamnazo na ni mpumb utaona unaonewa,kilaza @ work
 
Wanaume wenye matako makubwa huwa mnaandika ujinga sana
 
sasa waganga huwa wana uwezo wa kucheza mpira kuchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…