RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,859
kwamba apambane kwa kutungiwa makosa?mapinduzi gani unaongelea au kudai reforms?Mwanaume huyo muacheni APAMBANE.mapinduzi yana gharama zake.
LAbda useme muondoke huko ccmila for the sake of national interest nashauri yafuatayo.
Uchaguzi umedoda kwa kweliCCM mtandao hawataki Samia akutane na Lissu - wao wanaamini waende hivi hivi uchaguzi uishe Samia arudi madarakani ili wafanikishe malengo yao.
Kuhusu umoja wa kitaifa, muafaka kabla ya uchaguzi wanaona hakuna tija kuongea na CDM.
Ila ki ukweli Taifa limegawanyika, tuna siku kama 60 kabla ya uchaguzi ila lakini ni kama watu wapo msibani - kumepoaa.
Hata wana CCM hawaoni vuguvugu la uchaguzi ( Vibe) ambalo huwapo kila nyakati hizi.
Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni.
Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu kukosa mvuto kabisa, political will ya watu imeshuka mnooo.
Ni dhahiri Mh.Samia atawashinda Kwa kishindo wapinzani wake kina Salumu na Mpina, ila for the sake of national interest nashauri yafuatayo.
1. Lissu aachiwe awe huru.
2.Ni dhahiri nchi imegawanyika, ili mh.Rais aongoze nchi iliyo moja bila kelele za ndani na nje ya nchi, baada ya uchaguzi bunge lifanye marekebisho kidogo ya katiba ,ili kuongeza nafasi za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.
3. Samia akutane na Lissu wayajenge,najua wanachukiana,but this is for national interest.
4. Samia awape position kama 10 ,Chadema za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.
5. For the national interest Chadema wakubali viti hivyo.
6 Tulidhiane,tupendane,tushauliane nchi yetu isonge mbele.
Mwenyekiti wangu wa chama changu cha mapinduzi, nakuomba sana Mwachie Lissu.
Kidumu chama Cha mapinduzi.
Wanamtandao wanasema hizo siyo shida zao. Kikubwa koti lao liko ikulu na mambo yao yanaendaIla ki ukweli Taifa limegawanyika, tuna siku kama 60 kabla ya uchaguzi ila lakini ni kama watu wapo msibani - kumepoaa.
Hata wana CCM hawaoni vuguvugu la uchaguzi ( Vibe) ambalo huwapo kila nyakati hizi.
Treason committed by one disabled person?Sio swala la mtu kupenda au kuvutiwa. Ni swala la kisheria linalotatuliwa kupitia mahakama.
SawaaWewe ni ccm Geresha
Siasa za mahakama sio nzuriiHata Mungu hapendi lisu kuwa gerezani kwa uongo