GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
wezi wa rasilmali za nchi wako wanatamba wakiwa huru Lissu ambae hajawai kuiba hata sent 5 yuko jela kwa kusema tuweke vizuri masuala ya uwanja kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kuna watu wanaonufaika na Lissu kua jela akitoka anaweza kuaribu ugali wao wale walioshiba wanaogopa mabadiliko unafikiri Reforms mwananchi maskini hana tatizo na Reforms sema wale wenye vitambi wanaona reforms zinaenda kuvuruga ugali wao huo ndo maana mwana CCM yoyote ambae hana cheo chochote sio mwizi hawezi kuogopa reforms kama mwana CCM siogopi reforms
 
Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni.

Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu kukosa mvuto kabisa, political will ya watu imeshuka mnooo.

Ni dhahiri Mh.Samia atawashinda Kwa kishindo wapinzani wake kina Salumu na Mpina, ila for the sake of national interest nashauri yafuatayo.

1. Lissu aachiwe awe huru.

2.Ni dhahiri nchi imegawanyika, ili mh.Rais aongoze nchi iliyo moja bila kelele za ndani na nje ya nchi, baada ya uchaguzi bunge lifanye marekebisho kidogo ya katiba ,ili kuongeza nafasi za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.

3. Samia akutane na Lissu wayajenge,najua wanachukiana,but this is for national interest.

4. Samia awape position kama 10 ,Chadema za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.

5. For the national interest Chadema wakubali viti hivyo.

6 Tulidhiane,tupendane,tushauliane nchi yetu isonge mbele.

Mwenyekiti wangu wa chama changu cha mapinduzi, nakuomba sana Mwachie Lissu.

Kidumu chama Cha mapinduzi.
Siku hizi itikadi na utu sio vitu viwili tofauti tena. Itikadi zimefungamanishwa na maslahi na kufuta dhana utu kabisa. Maadam kuna maslahi ya mtu basi, kuua, kuonea, kudhulumu, kufunga, kufukuza kwa jina la itikadi ni sawa tu. Ndio maana tunaowatu wanaodhani kuwa mwana CCM ni pamoja na kuunga mkono kushitakiwa kwa Lisu, kufunga makanisa, na kunyamazia vitendo vya kikatili vinavyofanywa na wenye mamlaka. Haya ni makosa makubwa.

Katika CCM tunasema, kujikosoa, kukosoa na kukosoana ni nyenzo ya mapinduzi.
 
Sio swala la mtu kupenda au kuvutiwa. Ni swala la kisheria linalotatuliwa kupitia mahakama.
Duniani kote hakujawahi kutokea mtu mmoja peke yake kufanya uhaini!!.
Sa100 wahuni wamemdanganya kwamba akimuweka ndani lissu atakuwa kamdhibiti, asivyo na akili akawasikiliza na kuwakubalia....alichoambulia sasa ni ongezeko la kuchukiwa dhidi yake!!.
 
Samia awape position kama 10 ,Chadema za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.
Huu ujinga wa favor ndio LISSU hautaki kbs, inatakiwa fair kwa wote na sio CCM pekee!! Revolution movement haihitaj favor yoyote!!
 
Duniani kote hakujawahi kutokea mtu mmoja peke yake kufanya uhaini!!.
Sa100 wahuni wamemdanganya kwamba akimuweka ndani lissu atakuwa kamdhibiti, asivyo na akili akawasikiliza na kuwakubalia....alichoambulia sasa ni ongezeko la kuchukiwa dhidi yake!!.
CCM wakati wa kampeini sijui watakuwa wanajibizana na nani
 
Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni.

Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu kukosa mvuto kabisa, political will ya watu imeshuka mnooo.

Ni dhahiri Mh.Samia atawashinda Kwa kishindo wapinzani wake kina Salumu na Mpina, ila for the sake of national interest nashauri yafuatayo.

1. Lissu aachiwe awe huru.

2.Ni dhahiri nchi imegawanyika, ili mh.Rais aongoze nchi iliyo moja bila kelele za ndani na nje ya nchi, baada ya uchaguzi bunge lifanye marekebisho kidogo ya katiba ,ili kuongeza nafasi za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.

3. Samia akutane na Lissu wayajenge,najua wanachukiana,but this is for national interest.

4. Samia awape position kama 10 ,Chadema za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.

5. For the national interest Chadema wakubali viti hivyo.

6 Tulidhiane,tupendane,tushauliane nchi yetu isonge mbele.

Mwenyekiti wangu wa chama changu cha mapinduzi, nakuomba sana Mwachie Lissu.

Kidumu chama Cha mapinduzi.
Tatizo lenu mnawaza madaraka nakudhani mkuwapa watu ubunge ndio mmemaliza madai ya wananchi na nyie ndio mnastahili kuongoza hili taifa ni narrative yakijinga sana kuona kufanya reforms sio maslahi ya nchi bali nikuwafurahisha watu? Hebu tutazame hizi hoja ni za msingi ama la kwa mustakabali wa nchi
1.Rais kuteua mwenyekiti wa tume na mkurugenzi na makamishna wa tume!
2.Matokeo ya urais kutokupingwa mahakamani!
3.Wasimamizi kutokua huru kwakua ni maafisa waandamizi waajiriwa wa serikali!
4.Je vyama vilipata access kuhakiki hilo mnaloita daftari lanwwapigakura nakukubali kua idadi ni hiyo 37 milioni!
5.Inakuaje katibu mwenezi mstaafu wa chama tawala anakua sehemu ya kamishna wa tume!
6.Nchi ambayo mkurugenzi wa tume aliyepita anaenda kugombea ubunge kupitia chama tawala katika uchaguzi wa sasa!
Namengine kibao unayoyajua vaeni viatu vya opposition ndio wawe na access yakuchagua hao wote halafu nyie ndio muwe washirika

Hii ni nchi yetu sote na hatuna nchi nyingine zaidi ya hii ikiharibiwa kwa namna yeyote hakuna yeyote kati yetu atafaidika hata hayo madaraka mnayoyalinda hayatawasaidia mana hamtakua na wakumuongoza

Sasa tunaharakishia uchaguzi wa nini baada yakutafuta mustakabali wa Taifa turudishe Upendo na Haki tukajenge Tanzania umara kwa miaka 50 ijayo yenye prosperity kubwa na kila mtu akafurahie nchi yake badala ya sasa kikundi kidogo kina neemeka na wengi wakitaabika for the expense ya Amani.

No reform No Election
 
Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni.

Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu kukosa mvuto kabisa, political will ya watu imeshuka mnooo.

Ni dhahiri Mh.Samia atawashinda Kwa kishindo wapinzani wake kina Salumu na Mpina, ila for the sake of national interest nashauri yafuatayo.

1. Lissu aachiwe awe huru.

2.Ni dhahiri nchi imegawanyika, ili mh.Rais aongoze nchi iliyo moja bila kelele za ndani na nje ya nchi, baada ya uchaguzi bunge lifanye marekebisho kidogo ya katiba ,ili kuongeza nafasi za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.

3. Samia akutane na Lissu wayajenge,najua wanachukiana,but this is for national interest.

4. Samia awape position kama 10 ,Chadema za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.

5. For the national interest Chadema wakubali viti hivyo.

6 Tulidhiane,tupendane,tushauliane nchi yetu isonge mbele.

Mwenyekiti wangu wa chama changu cha mapinduzi, nakuomba sana Mwachie Lissu.

Kidumu chama Cha mapinduzi.
Ongezea pia hupendi kesi za kubambikizwa..
 
Kabla ya kumshauri mtu,msome kwanza. Lissu anataka REFORMS but wewe unashauri habari ya kupewa viti vya ubunge wa kuteuliwa. Huu ndio unaitwa MCHANGANYO ULIOCHANGANYIKANA!
 
Please Mama,, Mimi CCM kindakindaki ,,msamehe lisu tuendelee na Maisha
 
Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni.

Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu kukosa mvuto kabisa, political will ya watu imeshuka mnooo.

Ni dhahiri Mh.Samia atawashinda Kwa kishindo wapinzani wake kina Salumu na Mpina, ila for the sake of national interest nashauri yafuatayo.

1. Lissu aachiwe awe huru.

2.Ni dhahiri nchi imegawanyika, ili mh.Rais aongoze nchi iliyo moja bila kelele za ndani na nje ya nchi, baada ya uchaguzi bunge lifanye marekebisho kidogo ya katiba ,ili kuongeza nafasi za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.

3. Samia akutane na Lissu wayajenge,najua wanachukiana,but this is for national interest.

4. Samia awape position kama 10 ,Chadema za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.

5. For the national interest Chadema wakubali viti hivyo.

6 Tulidhiane,tupendane,tushauliane nchi yetu isonge mbele.

Mwenyekiti wangu wa chama changu cha mapinduzi, nakuomba sana Mwachie Lissu.

Kidumu chama Cha mapinduzi.
Eti viti 10. Waweke fair ground hata chadema wakikosa viti vyote iwe sawa.

Lakn sio kwa mapendekezo hayo yako. Eti viti 10, labda uzungumzie 100+.
 
Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni.

Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu kukosa mvuto kabisa, political will ya watu imeshuka mnooo.

Ni dhahiri Mh.Samia atawashinda Kwa kishindo wapinzani wake kina Salumu na Mpina, ila for the sake of national interest nashauri yafuatayo.

1. Lissu aachiwe awe huru.

2.Ni dhahiri nchi imegawanyika, ili mh.Rais aongoze nchi iliyo moja bila kelele za ndani na nje ya nchi, baada ya uchaguzi bunge lifanye marekebisho kidogo ya katiba ,ili kuongeza nafasi za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.

3. Samia akutane na Lissu wayajenge,najua wanachukiana,but this is for national interest.

4. Samia awape position kama 10 ,Chadema za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.

5. For the national interest Chadema wakubali viti hivyo.

6 Tulidhiane,tupendane,tushauliane nchi yetu isonge mbele.

Mwenyekiti wangu wa chama changu cha mapinduzi, nakuomba sana Mwachie Lissu.

Kidumu chama Cha mapinduzi.
No 2, 4, 5 ,ni uhuni mtupu kama sio utapeli
 
Back
Top Bottom