MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Tukinuniana kwa hili Poa tu ila lazima ifike muda tuseme tu Ukweli kuwa Simba SC ndiyo Timu pekee iliyo set Standards ya Soka la Tanzania na Sisi wengine hatuna budi Kuiga na hata Kujifunza Kwao" Dismas Ten aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC na Mwandamizi wa Uongozi ndani ya Klabu hiyo ya Yanga SC.
Taarifa: East Africa Radio Kipindi cha Michezo cha Leo Ijumaa kuanzia Saa 2 Usiku hadi Saa 3 Usiku.
Taarifa: East Africa Radio Kipindi cha Michezo cha Leo Ijumaa kuanzia Saa 2 Usiku hadi Saa 3 Usiku.