MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nsoma Sindano ya Dismas Ten imeanza Kukuingia Ndugu. Pole sana na Vumilieni tuNina hakika hata wewe uliyeandika ukirudia kusoma hutaelewa
Kama hujaelewa hapo basi una sifa zote za kuwa shabiki wa yanga.Nina hakika hata wewe uliyeandika ukirudia kusoma hutaelewa
Huyu genta ndiyo nani Wandugu? Mbona mnamtaja sana huku hata wengi wenu mkinihusisha nae wakati Binafsi hata simjui hapa Jamiiforums?Kwa hyo unataka kusema Dismas ndo mchambuzi wetu?Ameshikilia akili zetu?anawaza kwa niaba yetu?Unadhani wanayanga ni sawa na ww unaetegemea akili za boss wa Tiktok?Genta bhana
Ushanyea kambi hata ufungue ID'S 10 utajuliakana tuπ€£π€£π€£π€£Huyu genta ndiyo nani Wandugu? Mbona mnamtaja sana huku hata wengi wenu mkinihusisha nae wakati Binafsi hata simjui hapa Jamiiforums?
Popoma MkuuHuyu genta ndiyo nani Wandugu? Mbona mnamtaja sana huku hata wengi wenu mkinihusisha nae wakati Binafsi hata simjui hapa Jamiiforums?
ungeelewa ningeshangaa sana, utopolo wenye akili ni wawili tu, kikwete na sunday manara. wengine ni mabumundaNina hakika hata wewe uliyeandika ukirudia kusoma hutaelewa
Sawa tumekusikia popoma Mighter"Tukinuniana kwa hili Poa tu ila lazima ifike muda tuseme tu Ukweli kuwa Simba SC ndiyo Timu pekee iliyo set Standards ya Soka la Tanzania na Sisi wengine hatuna budi Kuiga na hata Kujifunza Kwao" Dismas Ten aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC na Mwandamizi wa Uongozi ndani ya Klabu hiyo ya Yanga SC.
Taarifa: East Africa Radio Kipindi cha Michezo cha Leo Ijumaa kuanzia Saa 2 Usiku hadi Saa 3 Usiku.
ππ€£π ππππππππMtani JembeNina hakika hata wewe uliyeandika ukirudia kusoma hutaelewa
Aisee...ungeelewa ningeshangaa sana, utopolo wenye akili ni wawili tu, kikwete na sunday manara. wengine ni mabumunda