Binafsi niwapongeze sana uongozi mzima wa National Microfinance Bank(NMB) chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mtendaji Mama Zaipuna kwa kazi nzuri mnayoifanya na kutuwezesha sisi wanahisa kupata gawio kubwa na ya kutosha kwa kila hisa. Leo nimeingiziwa kwenye akaunti yangu siyo chini ya millioni moja kama gawio.
Nawashauri uongozi wa Mabenki mengine yaige mfano wenu na hata ikiwezekana waje wajifunze kutoka kwenu yale mazuri yanayoleta mafanikio kwa wanahisa.
HONGERENI SANA NMB.
Nawashauri uongozi wa Mabenki mengine yaige mfano wenu na hata ikiwezekana waje wajifunze kutoka kwenu yale mazuri yanayoleta mafanikio kwa wanahisa.
HONGERENI SANA NMB.