Hisa sh ngapi, na mara ya mwisho kukupa gawio ilikuwa lini?Binafsi niwapongeze sana uongozi mzima wa National Microfinance Bank(NMB) chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mtendaji Mama Zaipuna kwa kazi nzuri mnayoifanya na kutuwezesha sisi wanahisa kupata gawio kubwa na ya kutosha kwa kila hisa. Leo nimeingiziwa kwenye akaunti yangu siyo chini ya millioni moja kama gawio. Nawashauri uongozi wa Mabenki mengine yaige mfano wenu na hata ikiwezekana waje wajifunze kutoka kwenu yale mazuri yanayoleta mafanikio kwa wanahisa. HONGERENI SANA NMB.
193Wametoa bei gani kwa hisa moja?
Binafsi niwapongeze sana uongozi mzima wa National Microfinance Bank(NMB) chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mtendaji Mama Zaipuna kwa kazi nzuri mnayoifanya na kutuwezesha sisi wanahisa kupata gawio kubwa na ya kutosha kwa kila hisa. Leo nimeingiziwa kwenye akaunti yangu siyo chini ya millioni moja kama gawio.
Nawashauri uongozi wa Mabenki mengine yaige mfano wenu na hata ikiwezekana waje wajifunze kutoka kwenu yale mazuri yanayoleta mafanikio kwa wanahisa.
HONGERENI SANA NMB.
Nenda dse au mtafute stock brokers yyt ofisi I mean atakuelewesha,ila voda usiguseTuelewesheni namba ya kununua hisa na he gawio au faida inapatikanaje baada ya muda gani
Certificate si unayo ya hisa zakoNa mimi nilipata gawio langu wiki iliyopita Tsh.367,000,na kwa kweli limeongezeka maana mwaka jana nilipata Laki Mbili,nataka niziuze tu Hisa zangu sasa,tatizo sijui utaratibu wa kufuata
Nenda dse au mtafute stock brokers yyt ofisi I mean atakuelewesha,ila voda usiguse
Asante kwa ushauri mzuri
Nashukur kwa maelezo mazuri nduguNenda dse au mtafute stock brokers yyt ofisi I mean atakuelewesha,ila voda usiguse
Ova
Yaani hata sijui Certificate niliiwekaga wapi na sijui nikitaka kuipata nyingine utaratibu ni upi,nipo gizani kwa kweliCertificate si unayo ya hisa zako
Ova
ok,una maanisha nikienda na ID ya NIDA na Passport Size watanipa hiyo Certificate??Kama una ID,passport utapata tu kutoka kwao
Ova