Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Flaga atapambana na Mamelod, ZamalekYanga kaimarika kila Sehemu? ( kwa kupewa penati na kupaki basi).
DM simba wanaye Fraga ni majeruhi,
Mashabiki wa simba wanasema ilitakiwa washinde hata kwenye page ya simba wanajinadi. inasikitisha sana zile clear chance za farid zimenishangaza sanaYanga ilitakiwa kumaliza mechi first half,Mbinu za Cedric second half kuwaacha wale mababu kupumua ndiyo imetumaliza Yanga.
Si mbaya,matokeo ya sare kwa Yanga ni faida kuliko mikia
Acha kabisa mkuuMashabiki wa simba wanasema ilitakiwa washinde hata kwenye page ya simba wanajinadi. inasikitisha sana zile clear chance za farid zimenishangaza sana
Jinsi manara anavyo inadi simba ni tofauti na uwanjani. Mwangalie chama leo kafichwa na mukoko lakini mashabiki wanapinga ile tuzo aliyopewa tonombe hadi bashite amejitolea kumpa mo husseinAcha kabisa mkuu
Yes,Hussein alicheza vizuri sana na alikuwa kikwazo kwetu, ila Mukoko alikuwa juu kidogo. Bashite amemiss kuandikwa tu kwenye headlines. Tshabalala alicheza vizuri kuliko wenzake ila hakumzidi teacherJinsi manara anavyo inadi simba ni tofauti na uwanjani.
mwangalie chama leo kafichwa na mukoko lakini mashabiki wanapinga ile tuzo aliyopewa tonombe hadi bashite amejitolea kumpa mo hussein
Chama kala buti sana leo cha kushangaza refa alikuwa anaangalia tu. Sio.chama tu hata Luis wamemkanyaga sanaJinsi manara anavyo inadi simba ni tofauti na uwanjani.
mwangalie chama leo kafichwa na mukoko lakini mashabiki wanapinga ile tuzo aliyopewa tonombe hadi bashite amejitolea kumpa mo hussein
Kweli Yanga hata kipindi cha pili wangecheza kama kipindi cha kwanza game ilikuwa yao.Yanga ilitakiwa kumaliza mechi first half,Mbinu za Cedric second half kuwaacha wale mababu kupumua ndiyo imetumaliza Yanga.
Si mbaya,matokeo ya sare kwa Yanga ni faida kuliko mikia
Yanga wamepiga viatu sana, refa anatoa macho tuChama kala buti sana leo cha kushangaza refa alikuwa anaangalia tu. Sio.chama tu hata Luis wamemkanyaga sana
Mkija kula 4 ndio safari ya Kaze kabisaTukutane Mwakan mbele ya Hakimu Calinho na Wakili Niyonzima wajieleze sare imepatikanaje.
Mukoko alisaidia sana kuzuia, alipakimbia katikati akawa kama beki namba 4Yes,Hussein alicheza vizuri sana na alikuwa kikwazo kwetu, ila Mukoko alikuwa juu kidogo. Bashite amemiss kuandikwa tu kwenye headlines. Tshabalala alicheza vizuri kuliko wenzake ila hakumzidi teacher
Kwani nafasi za Bocco hukuziona? Dilunga hata Chama pale mwishoni badala ya kupiga shuti akapiga chenga ndani ya box akapotezaMashabiki wa simba wanasema ilitakiwa washinde hata kwenye page ya simba wanajinadi. inasikitisha sana zile clear chance za farid zimenishangaza sana
Kupambana vita au?Flaga atapambana na mamelod,zamalek
Nasubiri kamati ya masaa 72 kuhusu Chama kukatwa na mustapha bila kuwa na mpira kwa kifupi nimegundua yanga ndio wanaongozwa kwa kubebwa na marefa na kupewa penati zisizo halali nawasubiri waandishi wao wataandika niniChama kala buti sana leo cha kushangaza refa alikuwa anaangalia tu. Sio.chama tu hata Luis wamemkanyaga sana