Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Kama kuna mwingine kaifunga kila team goli nyingi kuanzia 2 na kuendelea kamwe hautachukua Ubingwa, hesabu nyepesi kama hii inakusumbuaje?hata hivyo lengo LA post Yangu ni kuzungumzia tu kuwa kuamini ktk ushindi wa goli moja ni utamaduni waoUkiifunga kila timu goli moja, unachukua ubingwa. No matter what!