Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Kama kuna mwingine kaifunga kila team goli nyingi kuanzia 2 na kuendelea kamwe hautachukua Ubingwa, hesabu nyepesi kama hii inakusumbuaje?hata hivyo lengo LA post Yangu ni kuzungumzia tu kuwa kuamini ktk ushindi wa goli moja ni utamaduni waoUkiifunga kila timu goli moja, unachukua ubingwa. No matter what!
Utakuwa umemfunga goli moja ..Kama kuna mwingine kaifunga kila team goli nyingi kuanzia 2 na kuendelea kamwe hautachukua Ubingwa, hesabu nyepesi kama hii inakusumbuaje?hata hivyo lengo LA post Yangu ni kuzungumzia tu kuwa kuamini ktk ushindi wa goli moja ni utamaduni wao
Hata simba kutofanya vizuri mikoani ni utamaduni waoKama kuna mwingine kaifunga kila team goli nyingi kuanzia 2 na kuendelea kamwe hautachukua Ubingwa, hesabu nyepesi kama hii inakusumbuaje?hata hivyo lengo LA post Yangu ni kuzungumzia tu kuwa kuamini ktk ushindi wa goli moja ni utamaduni wao
[emoji3] [emoji3] [emoji3] eti kama ameazima simuhahaahaa! We jamaa elezea basi una comment kama umeazima simu
Kweli kabisa hata mimi nilikereka sana na uchezaji wa Yanga kipindi cha pili maana ilikua ni bahati tu kuto fungwa,,,kitu kingine kocha wa Yanga aache uoga,, ilitakiwa akomae kama first half...Kupaki basi ilikua ni kazi kuliko kushambuliaKweli Yanga hata kipindi cha pili wangecheza kama kipindi cha kwanza game ilikuwa yao.
Ila lile bus walilopaki nusra liwaangukie.
Babu Onyango alikuwa alimwe second yellow card alivyomkwatua Farid..ya kwenu hamuyaoniChama kala buti sana leo cha kushangaza refa alikuwa anaangalia tu. Sio.chama tu hata Luis wamemkanyaga sana
Huyo ndio.kocha wa Barcelona sijawahi kuona Barca wakipaki basi.si ajabu alikuwa mpishi au mfua jezi wa BarcelonaKweli kabisa hata mimi nilikereka sana na uchezaji wa Yanga kipindi cha pili maana ilikua ni bahati tu kuto fungwa,,,kitu kingine kocha wa Yanga aache uoga,, ilitakiwa akomae kama first half...Kupaki basi ilikua ni kazi kuliko kushambulia